Furaha ya Simba ni Gamondi kuondoka Yanga

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Kocha Muargentina Miguel Gamond, a.k.a Mzee wa "FOR ME" amesababisha tatizo la kisaikolojia Kwa Mashabiki na Viongozi wa Simba , ambao wao wanaamini mafanikio ya club yao mchawi wao ni Miguel Gamond, Mzee wa For Me.

Miguel Gamond anatengenezewa Zengwe na Simba ili afukuzwe , na tegemeo lao ni endapo ""Miguel Gamond For Me"'ataondoka basi wao wataweza kuwafunga Yanga na kuchukua bingwa mbalimbali. Simba imeenda Mbali zaidi na kulipa baadhi ya wachambuzi pesa ndefu Ili kum bomoa gamondi katika uchambuzi wao, na presha kubwa kupewa mashabiki waone Kiboko ya Simba Gamondi anaondoka nchini na kuwaondolea mateso ya kufungwa na Yanga mara zote.

Simba pia imeamua kumtumia manara Ili kumbomoa Gamond na kuhakikisha anaondoka.

Hali ilivyo ni kwamba mashabiki wa Simba ndio wanataka Gamond aondoke, huku mashabiki wa Yanga wakitaka Kocha Gamond Mzee wa Mtoto kautaka abakie clubuni hapo Ili aendelee kuwagaia Simba sport wastani Kwa idadi.
 
Thibitishaaaa haya uyasemayo kutoka uongozi wa Simba mkuu..
 
Yani kwamba niweke kwenye media mambo wanayoongea viongozi wa Simba, wakati hata wao hawawezi Kusema hazarani
Ss km hawawezi kusema hadharani haya umeyatoa wap unayoyatuhumu dhidi ya Simba mkuu..
 
Yanga mwenzangu hapa umechemka. Umekurupuka sana.
 
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
 
 
Tumefurahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…