Furaha yangu ya Yanga kuchukua kombe imekatishwa na kauli tata ya kocha msaidizi Cedric kaze

Hapa Africa Mashariki ukiondoa Al Hilal ya Sudani, hakuna team yenye misuli kiuchumi kiasi cha kubaki na kocha anayewindwa na team za kasikazini au Afirika Kusini.

Hizi nchi zetu ni sehemu ya makocha kutengeneza majina na CV, Nabi hawezi kuichagua Yanga akaacha mihela ya maana huko kwingine, labda kusiwe na offer yoyote iliyokuja.
 
Ngoja tuone nini kitafata.
 
Acha kumtegemea mwanadamu wee ngwena Ni ujinga tu

Wacha waondokee watakuja wengine wengi
SAS Kama wanalazimishwa walipwe mabilion ya pesa na gsm Kwan wasiondokee wasepa tu
 
Hakuna Dau La Kukomoa Mkuu, Watu Hutaja Dau Wanalostahili
 
Nje ya mada.
Hivi mbona kuna baadhi ya timu toka nchi kama kenya sionagi zikishiriki klabu bingwa.
Walifungiwa na CAF mkuu baada ya mpira wao kuuchanganya na siasa.

Serikali ilifanya Figisu ya kumchomoa Raisi wa shirikisho la soka lao na kumuweka mtu kutoka serikali jamaa akashitaki CAF na CAF walipojiridhisha wakapiga Bann kimataifa Sasa wanacheza nchini mwao tu.
 
Nje ya mada.
Hivi mbona kuna baadhi ya timu toka nchi kama kenya sionagi zikishiriki klabu bingwa.

Mwaka juzi ligi yao ilikula nyundo kutoka FIFA bado sijajua kama hilo sakata limeisha, ila kabla ya hapo team za kenya zimeshiriki sana michuani ya CAF (haswa GorMahia) na zikawa zinaishia hatua ya Playoffs kama Yanga kabla ya msimu huu waliofika fainali CAFCC.
 
Acha kumtegemea mwanadamu wee ngwena Ni ujinga tu

Wacha waondokee watakuja wengine wengi
SAS Kama wanalazimishwa walipwe mabilion ya pesa na gsm Kwan wasiondokee wasepa tu
Pole sana hakuna aliyemtegemea aise Soma vizuri andiko.

Najaribu kuwaza namna gani kocha gani atashika mikoba ya Nabi
 
Ulitaka aseme uongo kama wabongo ujanja ujanja wwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…