Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ujanja gani??Hawajui mpira.
Yanga enyewe wamshukuru saana Simba kwa kumfundisha ujanja..
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Walifanya kosa gani mkuu??Mwaka juzi ligi yao ilikula nyundo kutoka FIFA bado sijajua kama hilo sakata limeisha, ila kabla ya hapo team za kenya zimeshiriki sana michuani ya CAF (haswa GorMahia) na zikawa zinaishia hatua ya Playoffs kama Yanga kabla ya msimu huu waliofika fainali CAFCC.
Labda wanawaona wajerumani na nywele za kirusi.Wanapelekewa moto sio poa, hadi najiuliza hawa ukraine wapo kwenye vita kweli?
Aisee kumbee,Walifungiwa na CAF mkuu baada ya mpira wao kuuchanganya na siasa.
Serikali ilifanya Figisu ya kumchomoa Raisi wa shirikisho la soka lao na kumuweka mtu kutoka serikali jamaa akashitaki CAF na CAF walipojiridhisha wakapiga Bann kimataifa Sasa wanacheza nchini mwao tu.
Ujeruman kitendo chatimu yataifa kujitwika mzigo wakupromote ushoga ndio kinawatafunaWanapelekewa moto sio poa, hadi najiuliza hawa ukraine wapo kwenye vita kweli?
Kweli Mkuuupo vizuri nilisikia hii kitu ila sikuelewa anyway Yanga bingwa
Kweli mkuu hata Mimi nimesikitika mnoJamaa kaongea kinyonge sana inaonekana anaijua hatma yake... Kaongea direct sana
Nyie waafrika ni wajinga sana kuna nchi ulaya hai promte ushoga?Ujeruman kitendo chatimu yataifa kujitwika mzigo wakupromote ushoga ndio kinawatafuna
Watulie yanga. La siyo kubaya kunawaita. Kaze na Nabi siyo makocha viwango, wamebahatika tu kuwa na wachezaji wazoefuKama uliangalia vizuri baada ya mechi Kocha Nabi alikwenda kuwapa mkono wa kwaheri mashabiki wa Yanga.Hiyo ni ishara kuwa Nabi anaondoka Yanga pamoja na Kaze...destination yao inaweza kuwa south Africa au Africa ya kaskazini.
Kila la heri kwake Kama ni kweliNabi tayari kasaini na klabu ya kaizer chief ya afrika kusini na anaondoka na mayele pia ila sijajua ktk huo mkataba aliosaini anaondoka na kaze au kaze kapata timu nyingine ilo bado haijafahamika.
Mwenye utawala ni Yanga maana yeye ana ubingwa mara 29 wakati nyie mmeishia 22Ni wakati sasa Simba sc kurejesha utawala wetu uliotukuka msimu ujao. Your five minutes of fame is over.
Na ikawe heri kwa kweli.Mimi nina Imani ameongea hivyo, sababu mkataba ukiisha huwezi jiaminisha utaongezewa ama lah.
Tutegemee mazuri, kama wao wamepata offer nzuri zaidi, tunawatakia kila la kheri.
Natumaini wataendelea nasi, tunawashukuru kwa msimu huu...
Chawa, kiroboto na kunguni wa Nabi.
Injinia alishasema mazungumzo yapo hatua ya mwisho. Hatua ya mwisho nadhan ni kusainiAcha kumtegemea mwanadamu wee ngwena Ni ujinga tu
Wacha waondokee watakuja wengine wengi
SAS Kama wanalazimishwa walipwe mabilion ya pesa na gsm Kwan wasiondokee wasepa tu
Hii team inaniuzi mnoo, sijui imekuaje hataUkraine 3-1 Germany
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walifungiwa wao.Nje ya mada.
Hivi mbona kuna baadhi ya timu toka nchi kama kenya sionagi zikishiriki klabu bingwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujatoka Nje Ya Mada, Wao Wana Ligi Yao Wanayoshiriki, Ya Kuzungumza Kiingereza