Furaha yangu ya Yanga kuchukua kombe imekatishwa na kauli tata ya kocha msaidizi Cedric kaze

Furaha yangu ya Yanga kuchukua kombe imekatishwa na kauli tata ya kocha msaidizi Cedric kaze

Mwaka juzi ligi yao ilikula nyundo kutoka FIFA bado sijajua kama hilo sakata limeisha, ila kabla ya hapo team za kenya zimeshiriki sana michuani ya CAF (haswa GorMahia) na zikawa zinaishia hatua ya Playoffs kama Yanga kabla ya msimu huu waliofika fainali CAFCC.
Walifanya kosa gani mkuu??
 
Walifungiwa na CAF mkuu baada ya mpira wao kuuchanganya na siasa.

Serikali ilifanya Figisu ya kumchomoa Raisi wa shirikisho la soka lao na kumuweka mtu kutoka serikali jamaa akashitaki CAF na CAF walipojiridhisha wakapiga Bann kimataifa Sasa wanacheza nchini mwao tu.
Aisee kumbee,
 
Mimi nina Imani ameongea hivyo, sababu mkataba ukiisha huwezi jiaminisha utaongezewa ama lah.
Tutegemee mazuri, kama wao wamepata offer nzuri zaidi, tunawatakia kila la kheri.
Natumaini wataendelea nasi, tunawashukuru kwa msimu huu...
Chawa, kiroboto na kunguni wa Nabi.
 
Kama uliangalia vizuri baada ya mechi Kocha Nabi alikwenda kuwapa mkono wa kwaheri mashabiki wa Yanga.Hiyo ni ishara kuwa Nabi anaondoka Yanga pamoja na Kaze...destination yao inaweza kuwa south Africa au Africa ya kaskazini.
Watulie yanga. La siyo kubaya kunawaita. Kaze na Nabi siyo makocha viwango, wamebahatika tu kuwa na wachezaji wazoefu
 
Nabi tayari kasaini na klabu ya kaizer chief ya afrika kusini na anaondoka na mayele pia ila sijajua ktk huo mkataba aliosaini anaondoka na kaze au kaze kapata timu nyingine ilo bado haijafahamika.
 
Nabi tayari kasaini na klabu ya kaizer chief ya afrika kusini na anaondoka na mayele pia ila sijajua ktk huo mkataba aliosaini anaondoka na kaze au kaze kapata timu nyingine ilo bado haijafahamika.
Kila la heri kwake Kama ni kweli
 
Mimi nina Imani ameongea hivyo, sababu mkataba ukiisha huwezi jiaminisha utaongezewa ama lah.
Tutegemee mazuri, kama wao wamepata offer nzuri zaidi, tunawatakia kila la kheri.
Natumaini wataendelea nasi, tunawashukuru kwa msimu huu...
Chawa, kiroboto na kunguni wa Nabi.
Na ikawe heri kwa kweli.
 
Acha kumtegemea mwanadamu wee ngwena Ni ujinga tu

Wacha waondokee watakuja wengine wengi
SAS Kama wanalazimishwa walipwe mabilion ya pesa na gsm Kwan wasiondokee wasepa tu
Injinia alishasema mazungumzo yapo hatua ya mwisho. Hatua ya mwisho nadhan ni kusaini
 
Attachments

  • Screenshot_20230612-234455.png
    Screenshot_20230612-234455.png
    71.7 KB · Views: 4
Back
Top Bottom