Furaha yangu ya Yanga kuchukua kombe imekatishwa na kauli tata ya kocha msaidizi Cedric kaze

Furaha yangu ya Yanga kuchukua kombe imekatishwa na kauli tata ya kocha msaidizi Cedric kaze

Ujeruman kitendo chatimu yataifa kujitwika mzigo wakupromote ushoga ndio kinawatafuna
Mmeanzaaaa?? Na Taifa stars inayo sua sua kutoboa Afcon, nayo ina support ushoga?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wabongo bhana
 
Natoa pongezi za dhati kabisa kwa Yanga sc kubeba kombe la Azam shirikisho baada ya kuichapa Azam FC kwa bao moja kwa mtungi.

NALIA NGWENA nilikua nafuraha kubwa lakini furaha yangu imekatishwa na kocha msaidizi wa Yanga Cedric.

Mwandishi: Msimu ujao tutegemee mtihani mkubwa wa kufikia/ kufanya zaidi ya hapa kwa kupata mafanikio Kama haya mliyoyapata mwaka huu?

Cedric Kaze: Mtihani watakuwepo nao hao watakao kuja maana sisi tumemaliza mkataba nafikiri hao watakao kuja Yanga sc ndiyo watakua na mtihani."

Hilo jibu la Kaze limenifanya nigundue kuwa, mwamba anasepa, na kama anasepa ni peke yake au Nabi nae kiukweli furaha yangu imepotea gafla.

Nawasilisha hoja.
mie pia nilimsikia lakini naamini wapo kwenye maongezi na yanga kuongeza mikataba
 
Kwanza asingeweza kusema kuwa atahusika msimu ujao ilihali mkataba huo hawana.

Lakini la pili, Dunia Ina watu wengi na vipaji tofauti kwa nyakati tofauti, nadhani sio vizuri kudhani hamuwezi kufanikiwa kisa ni Fulani.

Ila Imani yangu, basing kwa kazi nzuri walioyofanya, sidhani kama klabu itawaacha, labda waamue kupandisha dau la kukomoa.
Kocha si mchezaji, anaweza vunja mkataba muda wowote akasepa
 
Pole sana hakuna aliyemtegemea aise Soma vizuri andiko.

Najaribu kuwaza namna gani kocha gani atashika mikoba ya Nabi
Pluijm, Ernie Brandts n.k walikuwa na vikosi vya kawaida na timu ikawa nzuri, Nabi ana kikosi cha gharama, ujuzi amesaidia kwa sehemu kubwa sikatai ila uwekezaji ulimbeba zaidi.

Atakuja tu kocha mwingine mzuri zaidi.
 
Kwahyo ukalia kabisa,kisa mwanaume mwenzio anaacha kazi utopoloni??
 
Mimi nina Imani ameongea hivyo, sababu mkataba ukiisha huwezi jiaminisha utaongezewa ama lah.
Tutegemee mazuri, kama wao wamepata offer nzuri zaidi, tunawatakia kila la kheri.
Natumaini wataendelea nasi, tunawashukuru kwa msimu huu...
Chawa, kiroboto na kunguni wa Nabi.
Hiyo sentence ya mwisho sasa
 
Natoa pongezi za dhati kabisa kwa Yanga sc kubeba kombe la Azam shirikisho baada ya kuichapa Azam FC kwa bao moja kwa mtungi.

NALIA NGWENA nilikua nafuraha kubwa lakini furaha yangu imekatishwa na kocha msaidizi wa Yanga Cedric.

Mwandishi: Msimu ujao tutegemee mtihani mkubwa wa kufikia/ kufanya zaidi ya hapa kwa kupata mafanikio Kama haya mliyoyapata mwaka huu?

Cedric Kaze: Mtihani watakuwepo nao hao watakao kuja maana sisi tumemaliza mkataba nafikiri hao watakao kuja Yanga sc ndiyo watakua na mtihani."

Hilo jibu la Kaze limenifanya nigundue kuwa, mwamba anasepa, na kama anasepa ni peke yake au Nabi nae kiukweli furaha yangu imepotea gafla.

Nawasilisha hoja.

Pole sana Mkuu!

Uwezekano wa Technical Bench la Yanga kuondoka imetia simanzi mashabiki wa Yanga. Wengi wamesikitika.
 
Tayri
 
Attachments

  • IMG-20230615-WA0000.jpg
    IMG-20230615-WA0000.jpg
    120.5 KB · Views: 3
Back
Top Bottom