Lady niece
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 953
- 414
hiivi wewe mbona msumbufu ivyo?
vipi tena mfalme? mbona hujatoka na koti lako bana na kibaridi hiki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi tena mfalme? mbona hujatoka na koti lako bana na kibaridi hiki?
niko tayari aseee..
hata sasa
hiivi wewe mbona msumbufu ivyo?
nimefanyaje tena ld niece?
unakunywakunya pespi hapo kila mara nikifungua jf
napenda sana wine.. ndio maana kila wakati nikiingia jf lazima niingie nayo!
nikupe unyonye?
sio mnywaji wa hayo makitu wala soda pia
nakunywa maji ya kilimanjaro tu
we acha tu Excel,hivi,umeshampa wine lady niece?
Hahaaa hahaaaaa naona huhitaji msaada
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe Lady niece una lako jambo!
sio mnywaji wa hayo makitu wala soda pia
nakunywa maji ya kilimanjaro tu
avatar tu?
mh