Furahi day - Be Happy

Furahi day - Be Happy

bora we foleni ya msimu
wenzio tunaokaa Kimara foleni ni yetu daily kwenda na kurudi
so raha jipe mwenywe usisubiri kupewa

Mkuu nikweli ila nikifikria kinachofanywa na hawa wabunge wa bunge la katiba kutoka kuanza kwao mara kuiba kura mara posho harafu wanatujazia magari hap mjini! all in all nashkr weekend ndo isha anza.
 
ukisubiri wayatimize unayoyahitaji ili ufurahi,utasubiri ssana..furaha yako iko ndani yako
Mim leo sija furahi maana
hapa Dodoma kunakuwepo na foleni baadhi ya maeneo kwa ajili ya kuwapisha
waheshimiwa wanaogimania posho. inakera sana ni bora wange fanya vile
na kazi(umuhimu) ya(wa) vionekane lakina sasa kilasiku majanga mara
posho majina mawili wizi mtupu.
 
ukisubiri wayatimize unayoyahitaji ili ufurahi,utasubiri ssana..furaha yako iko ndani yako

Naanza sasa hiv kufurahi karbun.
 

Attachments

  • 1392992040212.jpg
    1392992040212.jpg
    54.4 KB · Views: 20
Back
Top Bottom