Furahia kuwa mwanaume

Furahia kuwa mwanaume

Saad30

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
2,737
Reaction score
5,464
Habari wakuu.

Sisi WANAUME tumepewa mamlaka makubwa sana na mwenye mamlaka.Hivyo basi wewe ni mwanaume kwahiyo furahia kuwa hivyo kaka.

Unatafuta pesa kwa akili nyingi ili Mama,baba,Mke,watoto na ndugu ili wapate msaada wako asee sio kazi ndogo kaka.

Umetulia unawaza mambo yako unaskia simu inaita kuangalia ni namba ngeni baada ya kupokea unaskia sauti ya ex wako analalamika anataka mrudiane,unaamua kukata simu na kuwa busy na mawazo yako kaka.

Kuwa mwanaume ni furaha sana mana nguvu kuu inakuchagua wewe ndio tegemezi la familia kwahiyo kila MTU atakuangalia wewe kwa shida zake,utaanza kulalamika kwanini kila kitu ni mimi..!! Asee kaka wewe Ni nguvu ndio mana umechaguliwa na umeonekana unaweza na Wewe Ni mwanaume kwahiyo usilalamike wala kulialia kaka.

Mke anakusubiri urudi kazini hizo nyakati za usiku wakati mwingine anapitiwa na usingizi kukusubiri mume wake mana bila wewe afurukuti kaka.

SISI WANAUME NI NGUVU KUBWA KATIKA HII DUNIA.
 
Hayo yt sawa Ili uwe na furahaa iliyokamilika zaidi uwee na mkwanja haswa wakukimbizana na vyote ulivyosema ...n hayo tu mkuu
 
Habari wakuu.

Sisi WANAUME tumepewa mamlaka makubwa sana na mwenye mamlaka.Hivyo basi wewe ni mwanaume kwahiyo furahia kuwa hivyo kaka.

Unatafuta pesa kwa akili nyingi ili Mama,baba,Mke,watoto na ndugu ili wapate msaada wako asee sio kazi ndogo kaka.

Umetulia unawaza mambo yako unaskia simu inaita kuangalia ni namba ngeni baada ya kupokea unaskia sauti ya ex wako analalamika anataka mrudiane,unaamua kukata simu na kuwa busy na mawazo yako kaka.

Kuwa mwanaume ni furaha sana mana nguvu kuu inakuchagua wewe ndio tegemezi la familia kwahiyo kila MTU atakuangalia wewe kwa shida zake,utaanza kulalamika kwanini kila kitu ni mimi..!! Asee kaka wewe Ni nguvu ndio mana umechaguliwa na umeonekana unaweza na Wewe Ni mwanaume kwahiyo usilalamike wala kulialia kaka.

Mke anakusubiri urudi kazini hizo nyakati za usiku wakati mwingine anapitiwa na usingizi kukusubiri mume wake mana bila wewe afurukuti kaka.

SISI WANAUME NI NGUVU KUBWA KATIKA HII DUNIA.
Wengi wanashindwa ndo maana wana left
 
Back
Top Bottom