Furahia kuwa mwanaume

Furahia kuwa mwanaume

Acha masihara mkuu! Huwa wanasikia raha?
Makarios ya sensor neurones nyingi kuliko mkono, ukimminya kalio mwanamke hisia kwake zinakuwa kubwa kuliko kwako.
Screenshot_20240618-145007_Chrome.jpg
 
Habari wakuu.

Sisi WANAUME tumepewa mamlaka makubwa sana na mwenye mamlaka.Hivyo basi wewe ni mwanaume kwahiyo furahia kuwa hivyo kaka.

Unatafuta pesa kwa akili nyingi ili Mama,baba,Mke,watoto na ndugu ili wapate msaada wako asee sio kazi ndogo kaka.

Umetulia unawaza mambo yako unaskia simu inaita kuangalia ni namba ngeni baada ya kupokea unaskia sauti ya ex wako analalamika anataka mrudiane,unaamua kukata simu na kuwa busy na mawazo yako kaka.

Kuwa mwanaume ni furaha sana mana nguvu kuu inakuchagua wewe ndio tegemezi la familia kwahiyo kila MTU atakuangalia wewe kwa shida zake,utaanza kulalamika kwanini kila kitu ni mimi..!! Asee kaka wewe Ni nguvu ndio mana umechaguliwa na umeonekana unaweza na Wewe Ni mwanaume kwahiyo usilalamike wala kulialia kaka.

Mke anakusubiri urudi kazini hizo nyakati za usiku wakati mwingine anapitiwa na usingizi kukusubiri mume wake mana bila wewe afurukuti kaka.

SISI WANAUME NI NGUVU KUBWA KATIKA HII DUNIA.
Wazungu walilifahamu hilo ndio maana waliingiza agenda ya 50/50 ili kuidhoofisha nguvu ya mwanaume kwenye jamii...Leo hii fursa nyingi kama ajira Na mambo mengine vimeelekezwa kwa wanawake ili kummaliza kabisa mwanaume 😎 Na kama haitoshi wametuletea Na ushoga
 
Huyo ex anayekulilia hajielewi naye, mwambie aache ujinga.!! Hana kazi za kufanya?? Mwambie aje kunisaidia kuvuna huku.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hizi kelele za vilio vya nn?
Ukiona mwanaume anafungua threads kama hizi ni either anatafuta attention au anapoteza muda.Umewah sikia mwanaume analilia mtaani anateseka kwasababu ya pisi?
 
furaha ni kuweza kulisha mtu na kuprivide wakat si wote wanaweza!!
au furaha huioni?
furaha inakuja baada ya kukamilisha ambacho wengine hawawezi
Hoja yako haithibishi kuwa hii ni furaha ya mwanaume bali furaha ya ku-achieve kitu ambacho ngumu kukifikia ukikifikia unafurahi.

Thing to be happy haitaji makandokando chenille kinabalu kite straight Happyness kama mfano kufanya mapenzi, kula chakula kitamu, kuangalia football kwa wapenzi wa football nk

Ila furaha sio majukumu ya kuhuduamia watu kwenye uchumi ambao haupo sure kabisa at any time T unakuwa jobless, watu wanagongewa hawawezi hudumia, wanachelewa kuoa hawana maisha, huna hela huna maana kwa mke....HOW COME YOU CALL IT HAPPYNESS.

Ukweli haya ni majukumu na tuponayo by nature isiwe sababu ya ku pretend kindezi.
 
Back
Top Bottom