Furahia kuwa mwanaume

Wazungu walilifahamu hilo ndio maana waliingiza agenda ya 50/50 ili kuidhoofisha nguvu ya mwanaume kwenye jamii...Leo hii fursa nyingi kama ajira Na mambo mengine vimeelekezwa kwa wanawake ili kummaliza kabisa mwanaume ๐Ÿ˜Ž Na kama haitoshi wametuletea Na ushoga
 
Huyo ex anayekulilia hajielewi naye, mwambie aache ujinga.!! Hana kazi za kufanya?? Mwambie aje kunisaidia kuvuna huku.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hizi kelele za vilio vya nn?
Ukiona mwanaume anafungua threads kama hizi ni either anatafuta attention au anapoteza muda.Umewah sikia mwanaume analilia mtaani anateseka kwasababu ya pisi?
 
furaha ni kuweza kulisha mtu na kuprivide wakat si wote wanaweza!!
au furaha huioni?
furaha inakuja baada ya kukamilisha ambacho wengine hawawezi
Hoja yako haithibishi kuwa hii ni furaha ya mwanaume bali furaha ya ku-achieve kitu ambacho ngumu kukifikia ukikifikia unafurahi.

Thing to be happy haitaji makandokando chenille kinabalu kite straight Happyness kama mfano kufanya mapenzi, kula chakula kitamu, kuangalia football kwa wapenzi wa football nk

Ila furaha sio majukumu ya kuhuduamia watu kwenye uchumi ambao haupo sure kabisa at any time T unakuwa jobless, watu wanagongewa hawawezi hudumia, wanachelewa kuoa hawana maisha, huna hela huna maana kwa mke....HOW COME YOU CALL IT HAPPYNESS.

Ukweli haya ni majukumu na tuponayo by nature isiwe sababu ya ku pretend kindezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ