Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Katiba yetu kwenye ibara ya nne ipo wazi kwa kugawa madaraka kwenye mihimili mitatu. Na hii yote ni kuhakikisha kuwa mtu mmoja kuwa kiongozi wa mhimili mmoja na kisha kuwa na madaraka ya kuamua lolote anavyotaka kwa udikteta.
Ndio maana kuna Executive, Bunge na mahakama. Sasa kama mkuu wa serikali kuu atakuwa na madaraka na mamlaka kiasi cha mhimili mingine haiwezi kuhoji anachofanya basi tunakwenda pabaya sana. Mtakuja kukumbuka baada ya kulia.