Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Sukuma gang mtalia sana kilio cha mbwa mwiziKatiba yetu kwenye ibara ya nne ipo wazi kwa kugawa madaraka kwenye mihimili mitatu. Na hii yote ni kuhakikisha kuwa mtu mmoja kuwa kiongozi wa mhimili mmoja na kisha kuwa na madaraka ya kuamua lolote anavyotaka kwa udikteta.
Ndio maana kuna Executive, Bunge na mahakama. Sasa kama mkuu wa serikali kuu atakuwa na madaraka na mamlaka kiasi cha mhimili mingine haiwezi kuhoji anachofanya basi tunakwenda pabaya sana. Mtakuja kukumbuka baada ya kulia.
Tanzania inaangamizwa na watu wanafiki kama wewe,huyo mtu mmoja kukanyaga katiba ndio inaanzia kwa Ndugai?tumeshazoea sasa na hapa furaha ni kuona mashetani yanararuanaKatiba yetu kwenye ibara ya nne ipo wazi kwa kugawa madaraka kwenye mihimili mitatu. Na hii yote ni kuhakikisha kuwa mtu mmoja kuwa kiongozi wa mhimili mmoja na kisha kuwa na madaraka ya kuamua lolote anavyotaka kwa udikteta.
Ndio maana kuna Executive, Bunge na mahakama. Sasa kama mkuu wa serikali kuu atakuwa na madaraka na mamlaka kiasi cha mhimili mingine haiwezi kuhoji anachofanya basi tunakwenda pabaya sana. Mtakuja kukumbuka baada ya kulia.
Upo sahihi sana kamandaTulichokua tunakitaka ni Jobo kuondoka kwenye kiti kwanza halafu mapambano ya kutaka katiba mpya yapo pale pale.
Hayo ndiyo sukuma gang walikuwa wanaona ufahariSeparation of power?
Kugawa hela zetu barabarani
Kununua jogoo kwa laki [emoji23]
Umemaliza kazi kwa hao waumini wa kundi la sukuma gangTanzania inaangamizwa na watu wanafiki kama wewe,huyo mtu mmoja kukanyaga katiba ndio inaanzia kwa Ndugai?tumeshazoea sasa na hapa furaha ni kuona mashetani yanararuana
Ulitaka achambue kwa manufaa ya burigi?Mama kuchambua kwa manufaa ya zenji
Kwiiishaaaaa kwa sasa ni kilio kwa sukuma gang woooteMakamu wa mungu wa wafuasi wa jiwe chaliii
Ndio maana kuna Executive, Bunge na mahakama. Sasa kama mkuu wa serikali kuu atakuwa na madaraka na mamlaka kiasi cha mhimili mingine haiwezi kuhoji anachofanya basi tunakwenda pabaya sana. Mtakuja kukumbuka baada ya kulia.
Katiba yetu kwenye ibara ya nne ipo wazi kwa kugawa madaraka kwenye mihimili mitatu. Na hii yote ni kuhakikisha kuwa mtu mmoja kuwa kiongozi wa mhimili mmoja na kisha kuwa na madaraka ya kuamua lolote anavyotaka kwa udikteta.
Ndio maana kuna Executive, Bunge na mahakama. Sasa kama mkuu wa serikali kuu atakuwa na madaraka na mamlaka kiasi cha mhimili mingine haiwezi kuhoji anachofanya basi tunakwenda pabaya sana. Mtakuja kukumbuka baada ya kulia.
Hayo ndiyo sukuma gang walikuwa wanaona ufahari