Furahini enyi watumiaji wa vivo Y11 kwa sababu Android 11 ni yenu

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,395
Reaction score
2,391
Natumai wote mko powa.

Hakuna kitu nilikua nasubiri kwa hamu kama maboresho ya toleo la android 9 lililo kwenye simu yangu ya vivo Y11(1906).

Hii simu niliipenda na kila kasoro za kwenye masimu mengine huku solution ipo. Simu ambayo imevunja rekodi ya simu zangu zote nilizowahi kutumia kwa hiyo sikupanga kuiuza.

.

Niliwaza sana kwa sasa watu wanaenda android 12 mm bado nipo 9 je niuze simu ninunue nyingine kisa version tu,nikapiga ❤️ konde hatimae tumepata. Tena tumerushwa toleo moja zaidi badala ya kwenda 10 tumeruka mpaka 11.

Kama unatumia vivo njoo tuambizane kinachovutia kwenye toleo hili.
 
Tuanze kwanza kwa kutumia nini ( feature) gani mpya ya muhimu ilioongezeka ambayo ulikua huna awali .Kiufupi kifaa chochote kuanzia android nane mpka hii kumi na moja natumia ila ule u upgrade wa kweli upo kutoka 8 ( oreo) kama sikosei kwenda 10
 
watu tunakaribia 12 wiki ijayo

wewe unafurahia 11 na imebaki hivyo hivyo kama tecno

kweli dunia haina usawa
 
Utofauti unauona baada ya kutumia ndio utajua kilichoongezeka,nitaleta mrejesho baada ya kuichunguza vizuri
 
Huawei y19 ni matakataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…