Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
- Thread starter
- #41
Leo imetoka nyingine ya kurekebisha MB 120,saivi iko powaHii update kuna wateja wa vivo wanalalamika simu zimekua nzitoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo imetoka nyingine ya kurekebisha MB 120,saivi iko powaHii update kuna wateja wa vivo wanalalamika simu zimekua nzitoo.
Sio kwa wote labda wengine badoLeo imetoka nyingine ya kurekebisha MB 120,saivi iko powa
Ikitoka inasukumwa kwenye server tu ina mana itawafikia wote japo kwa muda tofautiSio kwa wote labda wengine bado
Ahaa kumbe bado haipo ON AIR.Ikitoka inasukumwa kwenye server tu ina mana itawafikia wote japo kwa muda tofauti
Tayari mbonaAhaa kumbe bado haipo ON AIR.
Mkuu ile slogan yako ya cc @mahandow umeiacha?Hongera...
jipya hakuna ila setting ndonaona inabadilika kulingana na brand.Binafsi natumia Android 11..sioni chochote kipya
Yeah ngoja tusubiri Android 12 tuone itakuja na ninijipya hakuna ila setting ndonaona inabadilika kulingana na brand.
kwa brand konki unakuta wameongeza customization
Xiaomi Mkuu...Vivo naona kama Tecno tuAndroid 12 kwenye vivo au xiaomi?
Kabisaaa...yaani nikiiona Mwili huwa unanichacharikaunaiona kama mitikenge(mtk)[emoji38][emoji38][emoji38]
MTK n nn?unaiona kama mitikenge(mtk)[emoji38][emoji38][emoji38]
MediatekMTK n nn?
ndo nn iyoMediatek
"Chipset" yaani kifaa kinachotumika katika kuunda simu na bidhaa mbalimbali za kielectronic. Zaidi unaweza kugooglendo nn iyo
nasikiaga wa sema sim za Mtk ni mbovu?"Chipset" yaani kifaa kinachotumika katika kuunda simu na bidhaa mbalimbali za kielectronic. Zaidi unaweza kugoogle
EURO2020 ni wadhaminiXiaomi Mkuu...Vivo mimu naona kama Tecno tu
Xiaomi au VIVO??EURO2020 ni wadhamini
Yes wataalamu wa humu JF huwa wanasema hivyo. Nadhani sababu kubwa ni hiyo Chipset kutumika sana kwenye simu za Bei Poa.nasikiaga wa sema sim za Mtk ni mbovu?