Furahini enyi watumiaji wa vivo Y11 kwa sababu Android 11 ni yenu

Furahini enyi watumiaji wa vivo Y11 kwa sababu Android 11 ni yenu

Tuanze kwanza kwa kutumia nini ( feature) gani mpya ya muhimu ilioongezeka ambayo ulikua huna awali .Kiufupi kifaa chochote kuanzia android nane mpka hii kumi na moja natumia ila ule u upgrade wa kweli upo kutoka 8 ( oreo) kama sikosei kwenda 10
Mpaka sasa juna mabadiliko matatu nimegundua mapya,
1. Drawer style haikuepo mwanzoni
2. System nevigation imeongezwa ile ambayo ni hiden
3. Easy touch imewekwa vitu vitam sana
Mabadiliko ni mengi sana

Najua ww mzee wa MIUI lakini simu huwa zenu mnatengenezea wap?
Iko hivi mkuu...fundi yyote ambae yuko serious basi hapitwi na jambo...ni aibu kujiita fundi alafu ukiletewa oppo utoe password useme hujui...

Hivyo basi simu zote zinatengenezeka bila kujali brands..na mafundi wapo..mimi sio fundi simu ila naamsha viveo vya brand tofaut tofaut..
 
Unaamsha nini
 
Hii update kuna wateja wa vivo wanalalamika simu zimekua nzitoo.
 
Back
Top Bottom