wale madereva taxi airport hawataki kusikia habari ya shuttle na wengi wao ni WACHAWI a.k.a VIGAGULA ukijidai unaingiza Shuttle mule ndani airport tarajia kugeuzwa CHIZI
mi huwa naendaga na NOAH yangu nasubiria abiria wa fastjet wakitoka tu natangaza 5,000 UBUNGO - MWENGE. kuna siku dereva taxi mmoja akanishtukia. Akaenda kuwaita wenzake wanileteee Fujo kisa naharibu biashara yao nikawazingua kuwa hao ni kwaya imekuja kurekodi DVD
yaani kila mishe kafanya. mbaya zaidi ni mnafiki pia.We boy.a mwongo sana.
yaani kila mishe kafanya. mbaya zaidi ni mnafiki pia.
yaani kila mishe kafanya. mbaya zaidi ni mnafiki pia.