wale madereva taxi airport hawataki kusikia habari ya shuttle na wengi wao ni WACHAWI a.k.a VIGAGULA ukijidai unaingiza Shuttle mule ndani airport tarajia kugeuzwa CHIZI
wale madereva taxi airport hawataki kusikia habari ya shuttle na wengi wao ni WACHAWI a.k.a VIGAGULA ukijidai unaingiza Shuttle mule ndani airport tarajia kugeuzwa CHIZI
wajasiriamali hebu kamateni fursa ya kuanzisha airport shuttle mnaanzia pale airport na ku-drop watu ama ubungo/mwenge/tegeta halafu nyingine ielekee temeke/mbagala/kongowe na nyingine kimara/kibamba maana kuchukua taxi za airport ni maumivu pia kukwea boda boda/bajaj sasa hiv zishakatazwa
Very good ideaWajasiriamali hebu kamateni fursa ya kuanzisha Airport Shuttle mnaanzia pale Airport na ku-drop watu ama Ubungo/mwenge/Tegeta halafu nyingine ielekee Temeke/Mbagala/Kongowe na nyingine Kimara/Kibamba maana kuchukua taxi za Airport ni maumivu pia kukwea boda boda/bajaj sasa hiv zishakatazwa
Ngoja mimi nitafute coaster halafu tuone...dawa ya moto sio maji ni firewale madereva taxi airport hawataki kusikia habari ya shuttle na wengi wao ni WACHAWI a.k.a VIGAGULA ukijidai unaingiza Shuttle mule ndani airport tarajia kugeuzwa CHIZI
Tahadhari gani ?? Zindiko au........?pale JNIA kumekaa kimazabe zabe sana hasa wale madreva taxi (wengi mno) na ni waswahili wasiopenda mabadiliko kama alivyosema mmoja wa wachangiaji unaweza kulogwa pale usikuwa makini. CHUKUA TAHADHARI