FURSA: Biashara ya Airport Shuttle Dar (JNIA) 2 Ubungo/Tegeta/ CBD/Mbagala

FURSA: Biashara ya Airport Shuttle Dar (JNIA) 2 Ubungo/Tegeta/ CBD/Mbagala

wale madereva taxi airport hawataki kusikia habari ya shuttle na wengi wao ni WACHAWI a.k.a VIGAGULA ukijidai unaingiza Shuttle mule ndani airport tarajia kugeuzwa CHIZI

Ahahaha.. wakati ukifika hakuna kitachozuia not even satan himself
 
wale madereva taxi airport hawataki kusikia habari ya shuttle na wengi wao ni WACHAWI a.k.a VIGAGULA ukijidai unaingiza Shuttle mule ndani airport tarajia kugeuzwa CHIZI

Nakubaliana na wewe 100% unazani kuna watu hawaona hii fursa shuttle ni wewe nenda na tax yako pale umempeleka mtu uone kama utatoka na abiria!!! yani hawafai wale jamaa gari zinahesabika tena ni wazee fulani hivi we acha tu.
 
ni wazo jema fanya alivyoshauri mjumbe zungumza na airlines moja kwa moja kwa kuanzia anza na fastjet,precision na Emirate na ulink na mahoteli ,travel agency kusudi uwe na wote domestic na international!
 
Wadau hii fursa tusiiachie hivi hiv tuanze na members wa JF wanaosafiri kwa kutumia uwanja wa Dar (JNIA). Mimi nina saloon car (Full AC) mwenye kuhitaji usafiri wa kumpeleka airport au kumchukua tuwasiliane bei poa (Nusu bei) ya Taxi za Airport. Huduma 24 hours/7 days a week.
 
clasi unaonaje tufanye biashara kwa pamoja? mimi nina NOAH na wewe na saloon car itakuwa poa mi huwa mainly napataga kazi za groups ingawa pia mtu mmoja mmoja
 
Mkuu nakuja dar j2 asubuhi saa 3 na dk 45 na Kenya Airways nipe namba yako plz
 
mkuu umefanikiwa na biashara yako hii? maana pale jamaa wa Taxi wanakaa siku 3 hawajapata abiria (na kumbuka wanapakia kwa foleni) wakikushtukia lazima wakushushe Shipa.
 
Ongea na fastjet mkuu utapata sana MARKET maana wengi wa abiria wa hiyo ndege tajwa ni CHOKEST (kiasi kwamba hata watu wa TAXI hawangaiki na wewe wakijua umeshuka kutoka kwenye Fastjet). Anza na Noah biashara ikichanganya unahamia kwenye COASTER
 
wajasiriamali hebu kamateni fursa ya kuanzisha airport shuttle mnaanzia pale airport na ku-drop watu ama ubungo/mwenge/tegeta halafu nyingine ielekee temeke/mbagala/kongowe na nyingine kimara/kibamba maana kuchukua taxi za airport ni maumivu pia kukwea boda boda/bajaj sasa hiv zishakatazwa

mi nadhani tatizo sio uchawi wala nn
tatizo ni hzi foleni
kwa moshi na arusha hili wazo works sababu u have almost 2 hrs mpaka kuzikuta foleni from kia
kwa dar ni ngumu sana
maoni yangu tu
 
Natumia fursa ipasavyo nina Noah zangu 2 na park karibu na kibanda cha kulipia JNIA nauli mpaka Ubungo -Tegeta ni Tshs. 10,000 tu.
 
Duh wazo, nadhani pia waweza muona mfanyakazi Wa fastjet ili awe anawambia kuwa kuna Gari sehemu , just mgawane faida kidogo, wakicheck out tu, anawapokea na kuwaelekeza, kwenye kigari chsko weka stika ya fastjet
 
Fastjet wanazingua wanataka tugawane nusu kwa nusu
 
Ivi ukiwa na shuttle yako unatakiwa kupata kibali cha airport?
 
Afu walee jamaa wapo wapo tuu wachafu wachafu asee, hawapo smart kaa madereva wa joubg. Shuttle muhimu pale asee afu mtu awe na connection na hotel like south Africa, ukipelekwa hoteln unalipa moja kwa moja ya kwenda na kurudi, afu morning zinakuwa full watu tena bei chee c kaa taxi za hapo JNIA
 
Wajasiriamali hebu kamateni fursa ya kuanzisha Airport Shuttle mnaanzia pale Airport na ku-drop watu ama Ubungo/mwenge/Tegeta halafu nyingine ielekee Temeke/Mbagala/Kongowe na nyingine Kimara/Kibamba maana kuchukua taxi za Airport ni maumivu pia kukwea boda boda/bajaj sasa hiv zishakatazwa
Very good idea
 
wale madereva taxi airport hawataki kusikia habari ya shuttle na wengi wao ni WACHAWI a.k.a VIGAGULA ukijidai unaingiza Shuttle mule ndani airport tarajia kugeuzwa CHIZI
Ngoja mimi nitafute coaster halafu tuone...dawa ya moto sio maji ni fire
 
pale JNIA kumekaa kimazabe zabe sana hasa wale madreva taxi (wengi mno) na ni waswahili wasiopenda mabadiliko kama alivyosema mmoja wa wachangiaji unaweza kulogwa pale usikuwa makini. CHUKUA TAHADHARI
Tahadhari gani ?? Zindiko au........?
 
Ngoja, niilembe vizuri Noah ya Mzee aniazime nipigepige siku kadhaa
 
Back
Top Bottom