Fursa Bomba la Mafuta kwa watanzania-UPDATES

Fursa Bomba la Mafuta kwa watanzania-UPDATES

kama kuna mtu anaweza nipa ile list ya vijiji/vitongoji 25 bomba la mafuta linakopita tz anipe wakuu
 
Habari za leo wadau.
Kikao cha kueleza fursa za bomba la mafuta kinafanyika hivi sasa katika ukumbi wa halmashauri Missenyi mkoani Kagera chini ya Waziri wa Nishati na Madini .

Kumbuka bomba hili kwa Tanzania linaanzia hapa .
 
Wapo wabunge wa Kamati ya Nishati na madini akiwemo Nusrat Hanje kutoka Chadema pamoja wabunge wote wa mkoa wa Kagera.
 
Mh Mwijage anasema kuku zitakazotumika ni bora zitoke hapa hapa.
 
Back
Top Bottom