Kurunzi JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 9,753 Reaction score 10,747 Apr 16, 2021 #21 Angalia list hapa ya makapuni ya ujenzi na suppliers kwenye Database ya EWURA Attachments LSSP-UPDATE-APRIL-2021.pdf LSSP-UPDATE-APRIL-2021.pdf 871.2 KB · Views: 33
F french JF-Expert Member Joined Aug 2, 2017 Posts 3,572 Reaction score 3,726 Apr 17, 2021 #22 kama kuna mtu anaweza nipa ile list ya vijiji/vitongoji 25 bomba la mafuta linakopita tz anipe wakuu
Mathias Byabato JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,033 Reaction score 723 Jul 17, 2021 Thread starter #23 Habari za leo wadau. Kikao cha kueleza fursa za bomba la mafuta kinafanyika hivi sasa katika ukumbi wa halmashauri Missenyi mkoani Kagera chini ya Waziri wa Nishati na Madini . Kumbuka bomba hili kwa Tanzania linaanzia hapa .
Habari za leo wadau. Kikao cha kueleza fursa za bomba la mafuta kinafanyika hivi sasa katika ukumbi wa halmashauri Missenyi mkoani Kagera chini ya Waziri wa Nishati na Madini . Kumbuka bomba hili kwa Tanzania linaanzia hapa .
Mathias Byabato JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,033 Reaction score 723 Jul 17, 2021 Thread starter #24 Wapo wabunge wa Kamati ya Nishati na madini akiwemo Nusrat Hanje kutoka Chadema pamoja wabunge wote wa mkoa wa Kagera.
Wapo wabunge wa Kamati ya Nishati na madini akiwemo Nusrat Hanje kutoka Chadema pamoja wabunge wote wa mkoa wa Kagera.
Mathias Byabato JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,033 Reaction score 723 Jul 17, 2021 Thread starter #25 Mh Mwijage anasema kuku zitakazotumika ni bora zitoke hapa hapa.