GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
- Thread starter
- #21
Mkuu mimi nafunguka mengi humu JF tena uzi wangu mwingine ulikuwa Juzi tuSasa Mbona Unataja Tuu Fursa umeziona lakini Huzitaji?
Taja Mkuu tuchangie Hapa,unasema umeviona vitu unavyoweza kuvifanya maeneo ambayo Watu hawafikirii Kabisa sema basi Mkuu Nasi tutoe Mawazo yetu huenda Tukachangia nawe ukafaidika!
hapa, mpaka INBOX yangu ikaanza kufurika sasa hapa nawapa nafasi na wadau
wengine wafunguke.