Mkuu mimi nafunguka mengi humu JF tena uzi wangu mwingine ulikuwa Juzi tuSasa Mbona Unataja Tuu Fursa umeziona lakini Huzitaji?
Taja Mkuu tuchangie Hapa,unasema umeviona vitu unavyoweza kuvifanya maeneo ambayo Watu hawafikirii Kabisa sema basi Mkuu Nasi tutoe Mawazo yetu huenda Tukachangia nawe ukafaidika!
Anza na wachache, lakini pia ni Kuku wapi unaotaka kufuga?Nataka nifuge kuku nianze na kuku elfu moja wafugaji nipeni uzoefu sitaki kujaribu nataka nifanye.kuna watu waliniambia wao wamesomeshwa kwa kuku
Uwe unani"mention" mdau wanguMkuu mimi nafunguka mengi humu JF tena uzi wangu mwingine ulikuwa Juzi tu
hapa, mpaka INBOX yangu ikaanza kufurika sasa hapa nawapa nafasi na wadau
wengine wafunguke.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Haha ha ha ha ha Watu wanawachukulia kuku Rahisi sana!! Kuku wanalipa sana lakini
sio mtaji wa kitoto ule, Inatakiwa ukaze msuli kwelikweli uache mambo yako mengi na
uwe na 'usiriasi' hautaki masihara, nikianza kuelezea hapa ninavyowajua wanJF wataanza
kuniuliza kwanini umeacha kufuga.
Jifunze kutembelea wafugaji wengi utajifunza mengi ,badae ukiwa tayari nitafutie nikuuzie vifarangaYaani mkuu kila ninapofikiria kuhusu hiyo Project naiona kama ngumu sana
nimewahi kuwaza kujaribu lakini naiona kama inahitaji utaalamu mkubwa
lakini nitaifuatilia.
Mkuu funguka tu bila kujali reactions za wanajukwaa, utakuwa umechangia kutoa elimu ya ufugaji kukuHaha ha ha ha ha MWatu wanawachukulia kuku Rahisi sana!! Kuku wanalipa sana lakini
sio mtaji wa kitoto ule, Inatakiwa ukaze msuli kwelikweli uache mambo yako mengi na
uwe na 'usiriasi' hautaki masihara, nikianza kuelezea hapa ninavyowajua wanJF wataanza
kuniuliza kwanini umeacha kufuga.
Mkuu funguka tu bila kujali reactions za wanajukwaa, utakuwa umechangia kutoa elimu ya ufugaji kukuHaha ha ha ha ha MWatu wanawachukulia kuku Rahisi sana!! Kuku wanalipa sana lakini
sio mtaji wa kitoto ule, Inatakiwa ukaze msuli kwelikweli uache mambo yako mengi na
uwe na 'usiriasi' hautaki masihara, nikianza kuelezea hapa ninavyowajua wanJF wataanza
kuniuliza kwanini umeacha kufuga.
Nimefuga kuku aina ya kroiler aisee wale ndege wanakula sijapata kuona nashukuru nimeweza kuwatoa wote na sasa nataka nihamie kwenye kuku wa nyama(broiler).[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jamaa anachukulia poa ila mziki wake Sio wa kitoto!
Kuku wanakula Sio mchezo!!
Ukimuachia mtu ahudumie unaweza hisi ameuza chakula [emoji23]
NAKUUNGA MKONO 100%Kila sIku nafikiria kuanzisha biashara ya kukaanga mihogo maeneo ya Posta. Mihogo yenyewe inaweza kuwa sio fursa sana ila fursa itakuwa kwenye matangazo ya hiyo muhogo.Nitatangaza kuwa mihogo hii inaongeza nguvu za kiume. Halo ndipo fursa ilipo..
Sina maana kwamba ni Project mbaya, ni mradi ambao umenitoa sanaWe GAZETI ebu usitunyime hiyo elimu ya kuku,kulikoni uliamua uache kufuga? natamani sana kusikia chochote juu hilo,na ulifuga kuku gani?
Sawa mkuu kwa kuanzia fuata hiyo Link.Uwe unani"mention" mdau wangu
HahahahaKuwa dancer wa fally pupa