CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Dec 8, 2019 #21 Kwa sasa usalama naweza sema ni 90% ujambazi umepu gua mno wale majambazi wameuwawa sana kuna nyakati walikuwa wanauwawa hadi 30 kwa mkupuo. Job K said: Kibondo ukienda kwa ajili ya biashara itabidi ujipange Sawa sawa,, wenyeji hawapendi wazidiwe na wageni. Ujambazi utakuandama mpaka uombepo! Click to expand...
Kwa sasa usalama naweza sema ni 90% ujambazi umepu gua mno wale majambazi wameuwawa sana kuna nyakati walikuwa wanauwawa hadi 30 kwa mkupuo. Job K said: Kibondo ukienda kwa ajili ya biashara itabidi ujipange Sawa sawa,, wenyeji hawapendi wazidiwe na wageni. Ujambazi utakuandama mpaka uombepo! Click to expand...
Job K JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 9,314 Reaction score 7,149 Dec 8, 2019 #22 CHASHA FARMING said: Kwa sasa usalama naweza sema ni 90% ujambazi umepu gua mno wale majambazi wameuwawa sana kuna nyakati walikuwa wanauwawa hadi 30 kwa mkupuo. Click to expand... Mkuu mimi pale nimeishi muda mrefu na nimetoka huko mwezi Julai tu! Sasa sijui wewe umekuwa Kibondo muda gani?
CHASHA FARMING said: Kwa sasa usalama naweza sema ni 90% ujambazi umepu gua mno wale majambazi wameuwawa sana kuna nyakati walikuwa wanauwawa hadi 30 kwa mkupuo. Click to expand... Mkuu mimi pale nimeishi muda mrefu na nimetoka huko mwezi Julai tu! Sasa sijui wewe umekuwa Kibondo muda gani?