Fursa gani zinapatikana mkoa wa Kigoma

Fursa gani zinapatikana mkoa wa Kigoma

Kwa sasa usalama naweza sema ni 90% ujambazi umepu gua mno wale majambazi wameuwawa sana kuna nyakati walikuwa wanauwawa hadi 30 kwa mkupuo.
Kibondo ukienda kwa ajili ya biashara itabidi ujipange Sawa sawa,, wenyeji hawapendi wazidiwe na wageni. Ujambazi utakuandama mpaka uombepo!
 
Kwa sasa usalama naweza sema ni 90% ujambazi umepu gua mno wale majambazi wameuwawa sana kuna nyakati walikuwa wanauwawa hadi 30 kwa mkupuo.
Mkuu mimi pale nimeishi muda mrefu na nimetoka huko mwezi Julai tu! Sasa sijui wewe umekuwa Kibondo muda gani?
 
Back
Top Bottom