CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Kwa sasa usalama naweza sema ni 90% ujambazi umepu gua mno wale majambazi wameuwawa sana kuna nyakati walikuwa wanauwawa hadi 30 kwa mkupuo.
Kibondo ukienda kwa ajili ya biashara itabidi ujipange Sawa sawa,, wenyeji hawapendi wazidiwe na wageni. Ujambazi utakuandama mpaka uombepo!