Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
mi ni mdogo brother 2004 hadi 2007, niliwacha wakina mwalimu kitungwa,nkwera,kasanga,biluko,masenga
anhaa nyie ndo intake ya kina mbuzi msela? mi nilikuacha pale 2006 ndio nilikua namaliza fm6.
mi ndo nilikuwa mdogo kuliko wote,hadi mbuzi msela alipohamia ndio akawa mdogo kuliko wote. . . .nyinyi ndio mlikua mnakula maandaz ya mama masenga na samaki wa mzee shringo? lol karibu sana mombasa ,karibu kenya
Asante kwa moyo wako wa kutaka kushare na watanzania wenzio fursa zilizopo huko Mombasa lakini naomba nikuulize swali kidogo la kiudadisi.
Hii account yako imefunguliwa tarehe 5 mwezi wa 3. Je? umeshawahi kuwa na account hapa jf au hii ni ya kwanza? kama umeshawahi kuwa nayo kwanini hivi sasa huitumii account yako ya zamani na umefungua ID mpya? kama ni mara yako ya kwanza kuja hapa jf nashtushwa kidogo na uwezo wako wa kutumia jf. Maana ni mgeni ambaye uko vizuri kila idara, kuweka avatar, signature, mention, photos nk
Anyway hongera sana lakini
Safi sana mkuu. Mocospace ilianzishwa October 2005, kwahiyo wewe ulianza kutumia mwaka huo huo ambao hata nchini kwao ilikuwa haijafahamika vya kutosha, you are very lucky.swali zuri sana,nimekuwa nikisoma posts za hapa tangu 2010 bila kuwa na akaunt,nimeanza kutumia social network 2005 wakati huo nikiwa mocospace.com,msn,hotmail,kabla ya facebook, nikapata nafasi ya kuwa na marafiki weng wazungu.leo nikikwambia america naifahamu states zote na majiji yake unaeza usiamini, ninauelewa mkubwa wa kutumia internet na baadhi ya biashara zangu za mwanzo nilifanya kwa intanet kupeleka florida na qatar
username ipi unayoitumia mocospace?hadi leo niko bado niko mocospace.com na hata ukitembelea profile yangu utaona my first login ni november 27 mwaka huo.bado kuna site nyingi huku hazifahamiki au hazijapata umaarufu,by the way hiyo siyo muhimu sana
username ipi unayoitumia mocospace?
Mkuu Falcon mtaji kati ya 3m na 5m tsh naweza fanya mishe gani huko..? Msaada wako pls
Niko free kuliko maelezo, kokote duniani ambako kuna fursa iliyo ndani ya uwezo wangu naweza kimbizana nayo..
kwa watu wasokoni wanavijua viroba vya nyavu nyavu vinabeba kilo 13, bei nitaweka hapa muda si mrefu
Kwa yeyote mwenye swali kuhusu fursa za aina mbalimbali katika jiji la Mombasa (MSA) na Kenya in general aniulize hapa. Mimi ni Mtanzania mwenzenu niko hapa kwa mwaka wa tano na napenda kumeet na wapiganaji wenzangu wa maisha.
sawa milion tatu ni mingi sana,waweza fanya milion moja tu,atleast ukatenga na laki 2 za usafiri,wacha nilale juu kesho nitakupa wazo fiti sana,haki wengine nimewapa namba yangu na wananitusi yakuwa najigamba eti najua sana ,maze hiyo si poa but also hata ukinitusi naweza nikaamua asifanye biashara kutoka tz na kweli asifanye weather ataface tough berier within the city