Fursa jijini Mombasa

Fursa jijini Mombasa

anhaa nyie ndo intake ya kina mbuzi msela? mi nilikuacha pale 2006 ndio nilikua namaliza fm6.

mi ndo nilikuwa mdogo kuliko wote,hadi mbuzi msela alipohamia ndio akawa mdogo kuliko wote. . . .nyinyi ndio mlikua mnakula maandaz ya mama masenga na samaki wa mzee shringo? lol karibu sana mombasa ,karibu kenya
 
Ha ha ha mzee shilingo daah kitambo sna.
 
Asante kwa moyo wako wa kutaka kushare na watanzania wenzio fursa zilizopo huko Mombasa lakini naomba nikuulize swali kidogo la kiudadisi.
Hii account yako imefunguliwa tarehe 5 mwezi wa 3. Je? umeshawahi kuwa na account hapa jf au hii ni ya kwanza? kama umeshawahi kuwa nayo kwanini hivi sasa huitumii account yako ya zamani na umefungua ID mpya? kama ni mara yako ya kwanza kuja hapa jf nashtushwa kidogo na uwezo wako wa kutumia jf. Maana ni mgeni ambaye uko vizuri kila idara, kuweka avatar, signature, mention, photos nk
Anyway hongera sana lakini
 
swali zuri sana,nimekuwa nikisoma posts za hapa tangu 2010 bila kuwa na akaunt,nimeanza kutumia social network 2005 wakati huo nikiwa mocospace.com,msn,hotmail,kabla ya facebook, nikapata nafasi ya kuwa na marafiki weng wazungu.leo nikikwambia america naifahamu states zote na majiji yake unaeza usiamini, ninauelewa mkubwa wa kutumia internet na baadhi ya biashara zangu za mwanzo nilifanya kwa intanet kupeleka florida na qatar
 
Safi sana mkuu. Mocospace ilianzishwa October 2005, kwahiyo wewe ulianza kutumia mwaka huo huo ambao hata nchini kwao ilikuwa haijafahamika vya kutosha, you are very lucky.
 
hadi leo niko bado niko mocospace.com na hata ukitembelea profile yangu utaona my first login ni november 27 mwaka huo.bado kuna site nyingi huku hazifahamiki au hazijapata umaarufu,by the way hiyo siyo muhimu sana
 
username ipi unayoitumia mocospace?

kama wewe ni mtumiaj mzuri ukinisearch utanipata bila kukupa username yangu ukitumia search engine ya 2005 november.jamiiforums imejaa usalamaa wa taifa ,nafikir ingekuwa sahihi 2kijadiliana yahusuyo biashara zaidi na wala si kuprove who i am.mimi ni mtu mdogo sana
 
Mkuu Falcon mtaji kati ya 3m na 5m tsh naweza fanya mishe gani huko..? Msaada wako pls
 
Niko free kuliko maelezo, kokote duniani ambako kuna fursa iliyo ndani ya uwezo wangu naweza kimbizana nayo..
 
sawa milion tatu ni mingi sana,waweza fanya milion moja tu,atleast ukatenga na laki 2 za usafiri,wacha nilale juu kesho nitakupa wazo fiti sana,haki wengine nimewapa namba yangu na wananitusi yakuwa najigamba eti najua sana ,maze hiyo si poa but also hata ukinitusi naweza nikaamua asifanye biashara kutoka tz na kweli asifanye weather ataface tough berier within the city
 
Kwa yeyote mwenye swali kuhusu fursa za aina mbalimbali katika jiji la Mombasa (MSA) na Kenya in general aniulize hapa. Mimi ni Mtanzania mwenzenu niko hapa kwa mwaka wa tano na napenda kumeet na wapiganaji wenzangu wa maisha.

Naomba unitazamie soko la samaki sato huko mombasa
natafuta soko...huku wananunua elfu 7 kwa kilo moja
sijui huko soko likoje
 
Mkuu mimi huwa napeleka UNGA WA MAHINDI kule kaunti za WAJIR, MANDERA na GARISSA, hebu nipe MCHONGO wa hapo MOMBASA. Maana long time kitambo nilikuaga na demu maeneo ya hapo town alikuwa anakata mauno kama feni mbovu japo mswahili sana
 
sawa milion tatu ni mingi sana,waweza fanya milion moja tu,atleast ukatenga na laki 2 za usafiri,wacha nilale juu kesho nitakupa wazo fiti sana,haki wengine nimewapa namba yangu na wananitusi yakuwa najigamba eti najua sana ,maze hiyo si poa but also hata ukinitusi naweza nikaamua asifanye biashara kutoka tz na kweli asifanye weather ataface tough berier within the city

Haujaamka mkuu? Hilo wazo la Millioni share nami pia.
 
December mwaka jana nilikuja kutembea huko na kufikia hotel Golden Palace...kuna watoto wazuri ukiondoa wakikuyu na wajaluo...
 
Back
Top Bottom