Fursa katika frem ya biashara

Fursa katika frem ya biashara

Bac3

Senior Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
178
Reaction score
119
biashara nyingi zinahitaji frem..sio zote ila nyingi....na sio frem tu...ni frem iliyo location muhimu..sio iliyojificha ficha...

kuna frem inapangishwa

SIFA ZA HII FREM

**frem iko barabarani, main road kabisa
**frem ni kubwa sana pana na imeingia ndani
**frem ina ubaraza mkubwa sana kiasi kwamba unaweza tenga ukaweka biashara mbili tofauti katika eneo moja...
**umeme mnashare watu wawili tu
**maji yako hapohapo
**frem tayari ina kodi ya miezi 8 sasa hivi iliyobakia
**kodi ya frem kwa mwaka ni milioni 5 tu....ukizingatia ukubwa wake na location hiyo kodi ni ndogo.

BIASHARA ZINAZOFAA KATIKA HII FREM

kutokana na ukubwa wake basi kwenye hii frem zinafaa biashara kubwa kubwa mfano
--vifaa vya ujenzi
--mgahawa/restaurant kubwa
--vifaa vya umeme
--kuweka ofisi kubwa kama zile za mikopo
--kuweka salon kubwa kama ya kike au barbershop
--biashara ya matairi
--biashara ya spare za nagari au pikipiki

AU

***** unaweza fungua biashara mbili tofauti kwa wakati mmoja kwa sababu eneo ni kubwa...mfano upande mmoja ukaweka duka la nguo na upande mwingibe ukaweka duka la urembo ama vipodizi ama simu au chochote

BEI YA KUMTOA MWENYE HII FREM

Bei inayohitajika ni milion 20 tu....hii inamaana kodi iko humohumo

kwa hiyo ukitoa m20 utaendelea kutumia hiyo frem mpaka hiyo miezi 8 iishe ndo utaendelea kulipa kodi kama kawaida ya m5 kwa mwaka...
anayeiachia ametaka m20 kwa sababu ameiboresha ameweka vitu vingi hapo..

kama unaihitaji au unamjua anayeihitaji nipigie au nitumie ujumbe wa sms....mimi sio dalali..mimi ndo mwenye frem kwa sasa hiv...

Karibu uje uikague uangalie ilipo location na ukubwa wake


MAHALI INAPOPATIKANA

Mwanza mjini kabisa katikati

MAWASILIANO

0744597493
 
Hujapata mteja tu?
wateja waliokuwa wanapatikana hawakufika bei.....ila kutokana na kwamba nami kuna vipengele vyangu nishavipunguza kwa njia nyingine ndo maana nikaamua nipunguze bei ya frem!! nahisi umenielewa mkuu...Karibu
 
Sijaelewa hapo kwenye flemu m20! Kuna biashara ipo unamuachia ataenunua ama ni pagare tu la flemu ndo lilipiwe milion20?
 
Back
Top Bottom