GEBE MILLINGA
Member
- Sep 1, 2016
- 34
- 26
Naitwa Gebiherd Gebe Millinga, Mzaliwa wa Mkoa wa Ruvuma
Wilaya ya Nyasa kijiji Lituhi. Ni MTANZANIA Fani yangu ni Fundi Magali. Garage yangu ipo Tabata Segerea Dar-es-Salaam. Makazi yangu ni Tabata Makoka.
Nime igia Japan Mara 3 kwa Miezi 3 kila Tripu.
Safari zangu za Japan ilikua ni Kununua Magali na kukata yani Spare Used na Spare Mpya.
Kwahiyo Mimi Japan Nina Mwenyeji raia Yupo Mkoa Osaka ,Wilaya Kobe,Mji Miki. Air port Kansai.
Ana Kampuni ya kuuza Magali na Kama unahitaji kukata Kama spare ni hiyali yako,
Na Kama Una hitaji spare mpya ni wewe biashara unayo taka kufanya
Na kabla huja ondoka lazima uwe na mdhaamini au dhamana ukizamia mdhaamini wako anawajibika.
Kwa Maelezo zaidi tuwasiliane
Kwa +255754771177
+255653003377