Fursa kwa anae hitaji kuingia Japan

Fursa kwa anae hitaji kuingia Japan

GEBE MILLINGA

Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
34
Reaction score
26
Naitwa Gebiherd Gebe Millinga, Mzaliwa wa Mkoa wa Ruvuma
Wilaya ya Nyasa kijiji Lituhi. Ni MTANZANIA Fani yangu ni Fundi Magali. Garage yangu ipo Tabata Segerea Dar-es-Salaam. Makazi yangu ni Tabata Makoka.

Nime igia Japan Mara 3 kwa Miezi 3 kila Tripu.
Safari zangu za Japan ilikua ni Kununua Magali na kukata yani Spare Used na Spare Mpya.

Kwahiyo Mimi Japan Nina Mwenyeji raia Yupo Mkoa Osaka ,Wilaya Kobe,Mji Miki. Air port Kansai.
Ana Kampuni ya kuuza Magali na Kama unahitaji kukata Kama spare ni hiyali yako,

Na Kama Una hitaji spare mpya ni wewe biashara unayo taka kufanya
Na kabla huja ondoka lazima uwe na mdhaamini au dhamana ukizamia mdhaamini wako anawajibika.

Kwa Maelezo zaidi tuwasiliane
Kwa +255754771177
+255653003377
 
"uwe na mzamini au zamana, ukizamia mzamini anawajibika". Zamana inahitajika vitu au pesa?
 
Ni bora kuzamia kuliko kuishi Tanzania iliyogeuzwa kuzimu na ccm, mkuu, mimi nitafutie demu wa kijapan nioe huko, haya mateso nimechoka maana sina hela ya nauli
Una urefu gani kimo chako kijana...?
 
Aksante kw kuleta fursa hapa.... [emoji106]
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Naitwa Gebiherd Gebe Millinga, Mzaliwa wa Mkoa wa Ruvuma
Wilaya ya Nyasa kijiji Lituhi. Ni MTANZANIA Fani yangu ni Fundi Magali. Garage yangu ipo Tabata Segerea Dar-es-Salaam. Makazi yangu ni Tabata Makoka.

Nime igia Japan Mara 3 kwa Miezi 3 kila Tripu.
Safari zangu za Japan ilikua ni Kununua Magali na kukata yani Spare Used na Spare Mpya.

Kwahiyo Mimi Japan Nina Mwenyeji raia Yupo Mkoa Osaka ,Wilaya Kobe,Mji Miki. Air port Kansai.
Ana Kampuni ya kuuza Magali na Kama unahitaji kukata Kama spare ni hiyali yako,

Na Kama Una hitaji spare mpya ni wewe biashara unayo taka kufanya
Na kabla huja ondoka lazima uwe na mdhaamini au dhamana ukizamia mdhaamini wako anawajibika.

Kwa Maelezo zaidi tuwasiliane
Kwa +255754771177
+255653003377
kaka

kaka sorry unafanya kaz gerej tabata makoka na unaishi tabata segerea..coz naifahamu tabata makoka hapo karibu na tabata dampo na nina rafik zangu weng sana hapo.. nieleweshe vzur mkuu
 
Kiongozi labda kwa kuanza natakiwa kuwa na kiasi gani, itakayoweza kuanza nacho kiasi kwamba itarudisha nauli pamoja na faida
 
Why mkuu?
Why mkuu?
kwanza ukiingia Japan watz wakikuona wanaambizana kabisa kuna ng'ombe wa maziwa ameingia!kwahiyo watafanya juu chini wakutapeli vijisenti vyako!na ukishastuka wanakwambia tu ukweli ukirudi Tz tutafutie ngo'mbe tukiwakamua na ww utapata chako!Inawezekana mtoa mada anatafuta ng'ombe wa maziwa!ushauri wa bure kama unataka kwenda Japan Nenda kivyako!ukipenda mteremko ujue kuna mlima wakati wa kurudi
 
Ahsanteni. Darasa zuri
 
Naitwa Gebiherd Gebe Millinga, Mzaliwa wa Mkoa wa Ruvuma
Wilaya ya Nyasa kijiji Lituhi. Ni MTANZANIA Fani yangu ni Fundi Magali. Garage yangu ipo Tabata Segerea Dar-es-Salaam. Makazi yangu ni Tabata Makoka.

Nime igia Japan Mara 3 kwa Miezi 3 kila Tripu.
Safari zangu za Japan ilikua ni Kununua Magali na kukata yani Spare Used na Spare Mpya.

Kwahiyo Mimi Japan Nina Mwenyeji raia Yupo Mkoa Osaka ,Wilaya Kobe,Mji Miki. Air port Kansai.
Ana Kampuni ya kuuza Magali na Kama unahitaji kukata Kama spare ni hiyali yako,

Na Kama Una hitaji spare mpya ni wewe biashara unayo taka kufanya
Na kabla huja ondoka lazima uwe na mdhaamini au dhamana ukizamia mdhaamini wako anawajibika.

Kwa Maelezo zaidi tuwasiliane
Kwa +255754771177
+255653003377
Nataka kusoma PHD huko....
 
mkuu ulitakiwa kufunguka mambo yafuatayo
1.nauli ya kwenda na kurudi
2. malazu(gest na hotel) ni shiling ngap
3. mtaji kwa anae anza.
4. usalama wa huko japan
5. jinsi ya kusafirisha mzigo
6. mawasiliano ya huko(lugha)
wanayotumia
hapo utakuwa umetusaidia wengi na sio mambo ya PM, mwaga kilakitu hapa
 
kwanza ukiingia Japan watz wakikuona wanaambizana kabisa kuna ng'ombe wa maziwa ameingia!kwahiyo watafanya juu chini wakutapeli vijisenti vyako!na ukishastuka wanakwambia tu ukweli ukirudi Tz tutafutie ngo'mbe tukiwakamua na ww utapata chako!Inawezekana mtoa mada anatafuta ng'ombe wa maziwa!ushauri wa bure kama unataka kwenda Japan Nenda kivyako!ukipenda mteremko ujue kuna mlima wakati wa kurudi
wanakutapeli vijisenti vyako kwa namna gani..?
wewe ulishafika huko?
 
Naitwa Gebiherd Gebe Millinga, Mzaliwa wa Mkoa wa Ruvuma
Wilaya ya Nyasa kijiji Lituhi. Ni MTANZANIA Fani yangu ni Fundi Magali. Garage yangu ipo Tabata Segerea Dar-es-Salaam. Makazi yangu ni Tabata Makoka.

Nime igia Japan Mara 3 kwa Miezi 3 kila Tripu.
Safari zangu za Japan ilikua ni Kununua Magali na kukata yani Spare Used na Spare Mpya.

Kwahiyo Mimi Japan Nina Mwenyeji raia Yupo Mkoa Osaka ,Wilaya Kobe,Mji Miki. Air port Kansai.
Ana Kampuni ya kuuza Magali na Kama unahitaji kukata Kama spare ni hiyali yako,

Na Kama Una hitaji spare mpya ni wewe biashara unayo taka kufanya
Na kabla huja ondoka lazima uwe na mdhaamini au dhamana ukizamia mdhaamini wako anawajibika.

Kwa Maelezo zaidi tuwasiliane
Kwa +255754771177
+255653003377
Thanks for the updates
 
Matapeli ni nyie mnao tumia majina Bandia na usilolijua ni usikimbilie mada ,Japan sio Kama Tz,Unapo tua Air port ukamaliza utaratibu wa pale ndani Ww utaonekana popote uendapo,na hakuna biashara ya Cash pesa yako Bank unalipia Bank,wa Tz niwajuzi kuongea mdomoni kishwani ( )
Na huishia mdomoni,
 
Back
Top Bottom