Fursa kwa kila mtanzania kuonja utamu wa keki ya taifa letu kwa kusafiri na treni ya SGR kwa safari zake za kikazi, kitalii au kibiashara

Hii ni nzuri. Nakubaliana na mradi huu ingawa changamoto ni kukwama kwa Lots zingine na kusababisha wafanyakazi kurudishwa majumbani kwao kwa muda usiojulikana.
 
Inatakiwe kuwe na chumba cha mizigo
kuna wabia kama vile gsm, Mo, Bakhresa, jambo na wengineo wanaleta treni za kisasa, kutakua na uchaguzi wa ubora wa huduma abiria anayotaka. Itakua kama magufuli terminal tu πŸ’
 
Hii ni nzuri. Nakubaliana na mradi huu ingawa changamoto ni kukwama kwa Lots zingine na kusababisha wafanyakazi kurudishwa majumbani kwao kwa muda usiojulikana.
I hope kuna majadiliano na mikakati inafanyika, watarudi kazini tuπŸ’
 
Hongera wafanyakazi wote wa serikali waliofanikisha mradi huu muhimu.
Wapambane kumaliza maeneo yaliyobakia ili watanzania wengi wafurahie jasho la kodi zao
 
Hapo ashukuriwe Magufuli (RIP) tu!
Mama asifiwe kwa mikopo.
Tunakushukuru Mungu kwaajili ya maisha viongozi wetu hawa wapendwa...

hayati Baba wa Taifa, J.K.Nyerere kwa uhuru wa nchi, Ali Hassan Mwinyi Mzee wa Rukhsa, Benjamin Mkapa Mzee wa ukweli na Uwazi na JPM hapa kazi tu πŸ’

wamefanya kaz kubwa na nzuri sana iloyo tukuka kwaajili ya watanzania...
 
Bila kumtaja Mwendazake kwenye hili haya yote yatakosa baraka kwa Mwenyezi Mungu
Tunamshukuru Mungu sana kwa maisha ya Dr.JPM hapa duniani, na kuanzinzisha ujenzi wa mradi huu wa kimkakati wa SGR,

Tunasema asanti kwa Mungu kwa Dr.SSH kukamilisha vizuri mradi huu muhimu.
Tunamshukuru Mungu kwa yote...

CCM iliahidi kwa maneno na imetekeleza kwa vitendo πŸ’
 
Keki ya Taifa..?? Au Mimi ndio sielewi maana ya neno keki ya Taifa..??
sina hakika kama kweli huelewi ila huenda ufahamu wa kutosha juu ya mambo haya ndiyo changamoto.....

huduma na bidhaa zote za umma zilizojengwa au zinazotokana na kodi, tozo na ushuru tunao changia mimi, wewe, wananchi na waTanzania wote ni keki ya taifa...

hii ni pamoja na mabarabara, reli, huduma za maji safi na salama, elimu, afya ulinzi na usalama n.kπŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…