vn_warehouse
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 648
- 854
Hongereni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni nzuri. Nakubaliana na mradi huu ingawa changamoto ni kukwama kwa Lots zingine na kusababisha wafanyakazi kurudishwa majumbani kwao kwa muda usiojulikana.Ni usafiri tulivu, salama na wa uhakika sana, muonekano wa mandhari nzuri sana za misitu, milima na mabonde njiani ni burudani tosha, ukiachilia mbali huduma murua ndani ya treni, mazingira bora na ya kisasa sana ndani ya treni yenyewe.
Tanzania imelamba dume kwa kukamilika na kuanza kazi kwa mradi huu muhimu sana wa kimkakati kiuchumi, katika sekta ya usafiri na usafirishaji.
Haya ni sehemu kidogo tu ya matokeo na mafanikio ya kodi, tozo na ushuru tunao kusanya kwa pamoja kama Taifa. Treni ya SGR ni keki ya Taifa, tuitimie na kuifurahia kwa kuitunza kwa kishirikina sote kama Taifa
Furahia keki hii ya taifa kwa kutumia usafiri wa kasi wa Treni ya SGR kwa safari za uhakika kwa muda na wakati sahihi
Well done serikali sikivu ya CCM, chini ya kiongozi madhubuti, comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, Raisi wa JMT kwa kukamilisha jambo hili la maana sana na la kimkakati kwenye uchumi wetu 👊💪
I hope kuna majadiliano na mikakati inafanyika, watarudi kazini tu🐒Hii ni nzuri. Nakubaliana na mradi huu ingawa changamoto ni kukwama kwa Lots zingine na kusababisha wafanyakazi kurudishwa majumbani kwao kwa muda usiojulikana.
I hope kuna majadiliano na mikakati inafanyika, watarudi kazini tu🐒Hii ni nzuri. Nakubaliana na mradi huu ingawa changamoto ni kukwama kwa Lots zingine na kusababisha wafanyakazi kurudishwa majumbani kwao kwa muda usiojulikana.
Tunakushukuru Mungu kwaajili ya maisha viongozi wetu hawa wapendwa...Hapo ashukuriwe Magufuli (RIP) tu!
Mama asifiwe kwa mikopo.
Tunamshukuru Mungu sana kwa maisha ya Dr.JPM hapa duniani, na kuanzinzisha ujenzi wa mradi huu wa kimkakati wa SGR,Bila kumtaja Mwendazake kwenye hili haya yote yatakosa baraka kwa Mwenyezi Mungu
Bora tu angechelewa tungekuwa mbali kimaendeleosure bila jitihada za dhati na za makusudi za mwalimu J.K.Nyerere tungechelewa sana kupata Uhuru 🐒
Nimeona wametangaza Return ticket ni 62,000/Tsh inaanza Tar 25.haizidi 60elfu pesa halali za kitanzania 🐒
sina hakika kama kweli huelewi ila huenda ufahamu wa kutosha juu ya mambo haya ndiyo changamoto.....Keki ya Taifa..?? Au Mimi ndio sielewi maana ya neno keki ya Taifa..??