St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Sidhani kama hiyo ndio keki ya Taifa.. Keki ya Taifa ni mgawanyo wa mapato ya raslimali za Taifa kwa wananchi wake.. Wanaofaidi keki ya Taifa ni waramba asali.. Sina haja ya kuwataja unawajua.. Sisi tunaotumia miundo mbinu iliyojengwa na serikali hatuna chochote katika keki ya Taifa.. Tunachoambulia sisi nadhani ni kiporo cha andazi la Taifa hiyo keki hata kuiona hatujawahi..sina hakika kama kweli huelewi ila huenda ufahamu wa kutosha juu ya mambo haya ndiyo changamoto.....
huduma na bidhaa zote za umma zilizojengwa au zinazotokana na kodi, tozo na ushuru tunao changia mimi, wewe, wananchi na waTanzania wote ni keki ya taifa...
hii ni pamoja na mabarabara, reli, huduma za maji safi na salama, elimu, afya ulinzi na usalama n.kπ