Fursa kwa kila mtanzania kuonja utamu wa keki ya taifa letu kwa kusafiri na treni ya SGR kwa safari zake za kikazi, kitalii au kibiashara

Fursa kwa kila mtanzania kuonja utamu wa keki ya taifa letu kwa kusafiri na treni ya SGR kwa safari zake za kikazi, kitalii au kibiashara

sina hakika kama kweli huelewi ila huenda ufahamu wa kutosha juu ya mambo haya ndiyo changamoto.....

huduma na bidhaa zote za umma zilizojengwa au zinazotokana na kodi, tozo na ushuru tunao changia mimi, wewe, wananchi na waTanzania wote ni keki ya taifa...

hii ni pamoja na mabarabara, reli, huduma za maji safi na salama, elimu, afya ulinzi na usalama n.k🐒
Sidhani kama hiyo ndio keki ya Taifa.. Keki ya Taifa ni mgawanyo wa mapato ya raslimali za Taifa kwa wananchi wake.. Wanaofaidi keki ya Taifa ni waramba asali.. Sina haja ya kuwataja unawajua.. Sisi tunaotumia miundo mbinu iliyojengwa na serikali hatuna chochote katika keki ya Taifa.. Tunachoambulia sisi nadhani ni kiporo cha andazi la Taifa hiyo keki hata kuiona hatujawahi..
 
Sidhani kama hiyo ndio keki ya Taifa.. Keki ya Taifa ni mgawanyo wa mapato ya raslimali za Taifa kwa wananchi wake.. Wanaofaidi keki ya Yaifa ni waramba asali.. Sina haja ya kuwataja unawajua.. Sisi tunaotumia miundo mbinu iliyojengwa na serikali hatuna chochote katika keki ya Taifa.. Tunachoambulia sisi nadhani ni kiporo cha andazi la Taifa hiyo keki hata kuiona hatujawahi..
nadahani uelewa bado ni changamoto,

ila nilivyoeleza nayana tena kwa lugha rahisi hivyo ndio ukweli wenyewe,

na si lazima uukubali maana tabia ya ukweli ni pamoja na kukataliwa au kupungwa vikali tena bila sababau ya maana...

keli ya taifa sio kama ile mliyokula kwenye birthday yako wiki iliyopita....:pedroP:

ni huduma na bidhaa za pamoja za umma zilizotokana au kujengwa na umma wenyewe ...
 
Usijaribu kuhadaa Umma.. Keki ha Taifa sio hiyo unayojaribu kuielezea.. Keki ya Taifa ni mgawanyo wa Rasilimali za Taifa .. Ni pale wananchi wanapotengezewa mazingira mazuri ya kujiingizia vipato vyao.. Ni kuwa na uhakika wa kipato katika maisha ya kila siku.. Hii unayolazimisha watu waamini kuwa ni keki ya Taifa wala sio keki ya Taifa.. Hii ni huduma ya jamii..

Nikuulize tu.. Kama huna mazingira mazuri ya kujipatia kipato chako, hiyo Treni si utaishia kuitazama tu..?? Utamudu vipi gharama za kusafiri humo bila ya kuwa na mazingira mazuri ya kipato chako..??
 
kwahiyo hutumii keki ya Taifa kwenda kutafuta mahitaji ya kila siku? kipato n.k?🐒

hutumii mawasiliano wala barabara, na kwamba hufurahii amani na utulivu ulio wekezwa vya kutosha kwa kodi yako na yangu hadi kwenye shughuli na kazi zako, right?🐒
 
Hivyo ulivyovitaja sio keki ya Taifa..

matokeo ya chochote unachonufaika nacho baada ya kulipa kodi, tozo na ushuru ni keki ya Taifa.

mathalani,
uwekezaji mkubwa katika vikosi vya ulinzi na usalama nchini matokeo, yake kama Taifa, tunainjoy keki ya Taifa, ya amani na utulivu nchini katika kazi, makazi, biashara na mipaka yetu 🐒

matokeo ya huduma na bidhaa zitokanazo na ushuru,tozo na kodi unazotozwa wewe mimi na wananchi wengine hiyo ni keki ya Taifa, upende usipende 🤣
 
Ni usafiri tulivu, salama na wa uhakika sana, muonekano wa mandhari nzuri sana za misitu, milima na mabonde njiani ni burudani tosha, ukiachilia mbali huduma murua ndani ya treni, mazingira bora na ya kisasa sana ndani ya treni yenyewe.

Tanzania imelamba dume kwa kukamilika na kuanza kazi kwa mradi huu muhimu sana wa kimkakati kiuchumi, katika sekta ya usafiri na usafirishaji.

Haya ni sehemu kidogo tu ya matokeo na mafanikio ya kodi, tozo na ushuru tunao kusanya kwa pamoja kama Taifa. Treni ya SGR ni keki ya Taifa, tuitimie na kuifurahia kwa kuitunza kwa kishirikina sote kama Taifa

Furahia keki hii ya taifa kwa kutumia usafiri wa kasi wa Treni ya SGR kwa safari za uhakika kwa muda na wakati sahihi

Well done serikali sikivu ya CCM, chini ya kiongozi madhubuti, comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, Raisi wa JMT kwa kukamilisha jambo hili la maana sana na la kimkakati kwenye uchumi wetu 👊💪
Ngoja nitafute sababu ya kutoka ofcn nije moro 88..
 
Umeaandika utafikiri watu wanapanda bure kama hao wasanii na machawa ambao kutwa kupigapiga pucha na mavideo mule

Ova
 
Back
Top Bottom