FURSA KWA MAFUNDI WOOOOTE

FURSA KWA MAFUNDI WOOOOTE

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
habarini wakuu poleni na majukumu ya kujenga taifa, natumai mu wazima wa afya

Niende moja kwa moja kwene mada japo asimia sabini hii mada itakua anawahusu mafundi

jana nimeongea na sir god throught ndoto akanambia kutokana na kua siku za mwisho zinakaribia anaomba nimsaidie kutengeneza hekalu kubwa sana ili watu wake wanaotenda mema wapate sehemu salama ya kukaa pindi atavo wachukua

nikaona isiwe kesi niwape nafasi mafundi wezangu ili tugawane hicho hicho kidogo kinachopatikana

mafundi wanaohitajika ni pamoja na

Welding: hawa wanaitajika wawe wa kwanza ili waende wakatutengenezee camp

wahashi: hawa ni muhimu sana kwa sababu hawa ndo watengenezaji wa hekalu

maseremala: hawa inabidi wakanipaulie hekalu litoke vizuri sana ili sir god akiwa na dili nyingine atushituwe

warangi:hawa ndo wapendeshaji wa hekalu wenyewe

Hiyo ni fursa kwa mafundi wote


NB:tufanye hiyo kazi vizuri maana ata shetani anaweza akatupatia kazi ya kujenga sehemu ya kuchomea mishkaki ya binadamu
 
Ukiamka agiza supu nitalipia itakusaidia kupunguza hangover
 
Ukiamka agiza supu nitalipia itakusaidia kupunguza hangover
nimeamka mkuu naagiza tu white na chapati mbili

maana kwa usawa huu nikisema nile kiduru ntakufirisi
 
Back
Top Bottom