Fursa kwa timu ya Simba, course ya upigaji penalti yafunguliwa na Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaaam Wana JF

Kutokana na kutokuridhishwa kwa kiwango cha wachezaji wa SIMBA kwenye Upigaji wa penalt au mipira iliyokufa
Timu ya WANANCHI kama mdau mikubwa wa maendeleo wa mpira kupitia kwa matajiri wa GSM imekuja na course fupi ya Upigaji wa penalt kwa wachezaji wa SIMBA ili kupunguza idadi ya watu wanao pata presha, especially. Mashabiki lia lia wa MAKOLO FC

USHAURI: Benchi la ufundi la Simba kupitia kwa kocha bora aliwahi kufundishwa real Madrid ya BUZA nawashauri wahudhurie course hiyo ili kupunguza kupiga viti kwa kocha wao

Pia kutakuwepo na mafundi kama, Ntibazonkiza, Yannick bangala na Dr. Aucho ili wawe roll model wao.

Msisahau course itakua bure kabisa coz wananchi fahari. Yao ni kuona Kuna ushindan kwenye ligue

Teacher wa course: Mukoko Tunombe from wananchi

 
Wakati mwingine tujifunze kukaa kimya, kutowakejeli timu pinzani. Haya maneno siku Yanga ikikosa penati au ikikosa ubingwa haya majivuno yatakuwa hayana maana tena. Bado ligi safari ndefu na pia muda ni mwalimu hatujui kitatokea nini mbele. Kejeli ni mbaya sana
 
Mkuu hii sio kejeli but lazima tuleke ishe palipo kosewa
 
Mkuu naamini huu ni utani tu, juzi Yanga si katolewa na Azam kwenye penalties !?
 
Ni mafunzo ya kupiga tu... vipi na kudaka je? Na kama atatoa mafunzo ya kudaka penati vipi johora amejoin ama!!
 
Quality ya wachezaji Tanzania ipo simba kuanzia
Fitness level
Ball control
Talent
Ila yanga hivi yule kaseke anahudhuria mazoezi kweli namba 9 mzito kama hulk vile wa brazil.
 
Quality ya wachezaji Tanzania ipo simba kuanzia
Fitness level
Ball control
Talent
Ila yanga hivi yule kaseke anahudhuria mazoezi kweli namba 9 mzito kama hulk vile wa brazil.
Kaseke ameanza kucheza 9 lini?
 
Sawa ni utani ila tuombe tumalize vizuri, ila tukiboronga tutataniwa vibaya sana
Ni ngumu Sana .....labda mechi zote zilizobaki ....tucheze na mbeya city
 
Ni mafunzo ya kupiga tu... vipi na kudaka je? Na kama atatoa mafunzo ya kudaka penati vipi johora amejoin ama!!
Hapana mkuu......johora hana rekodi ya kufungwa mara kwa mara
 

Bila shaka umetoka leo koromoje kuja town sio
 
Chifu, hujapotea jukwaa lakini?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…