Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Ahsante sana mkuu!!!
asante sana mkuu kwa kitu kizuri kama hichi aisee ngoja nitumie fursa hii haraka
Haya vijana changamkieni fursa hizo, halafu hoo Tanzania hakuna fursa, wakati fursa zimejaa.
Money Stunna kajitahidi, kakuwekea mpaka namba ya simu ya kupiga ukiwa na haja ya kujuwa zaidi, wacha kiherehere, soma vizuri post #1 .Hebu nisaidie katika hili fursa ipo Tanzania au huko ughaibuni lilipo soko?
Money Stunna kajitahidi, kakuwekea mpaka namba ya simu ya kupiga ukiwa na haja ya kujuwa zaidi, wacha kiherehere, soma vizuri post #1 .
Twende taratibu ndugu mbona waharakisha hivyo...
Money Stunna katoa mwangaza tu wa nini watu wafanye kutafuta soko la mbogamboga kupitia huyo bwana aliyekwisha fanikiwa tayari...
Lakini wewe ukaenda mbali zaidi ukisifia kuwa hayo aliyoeleza Stunna ni faida ya fursa zilizopo Tanzania...
Sasa nakuuliza tena soko la hizo mboga mboga lipo Tanzania?
Kama halipo Tanzania hiyo fursa unayohubiri ni ipi sasa?
Au hujui uhusiano wa fursa na soko usaidiwe?
Ewe punguani, hizo mboga Tanzania utaziuza kwa pesa za madafu, ukiziweka katika viwango kama anavyofanya huyo kijana hapo post #1 utaziuza nje kwa pesa za kigeni na faida ya juu zaidi.
Kila kitu mpaka upikiwe, upakuliwe, umezeshwe? hautumii akili zako hata kiduchu? zitadoda, kama bado.
Halafu mnamsema Kikwete alipowashangaa kuwa hajui Watanzania kwanini ni masikini!
Alisita kusema tu, ni wajinga.
Hivi hiyo shule ulienda kusomea ujinga?
Unaona sasa udumavu wa ubongo wako unapoonekana, maana unafafanua vizuri kabisa lakini kwenye hitimisho unaishia kuharibu...
Hivi hadi sasa akili yako haijakupa mwangaza kuwa ughaibuni ndipo ilipo fursa na hata katika maandishi hayo mekundu umekiri...
Tatizo lako FF huwa wajiona wajua kila kitu kwa kuwa u mjinga...
Mjinga ni mtu yule asiyetaka kujifunza kutoka kwa wengine...
Wewe unayedhani unajua kuliko wote mbona waulizwa utoe jibu la waja na lugha za kejeli?
Kikwete katokea wapi tena huku?
Na kwa taarifa yako tu huyo rais wako hakuwashangaa Watanzania bali alishangaa umasikini wa nchi ya Tanzania ambayo yeye ndio kiongozi...(FYI: Hebu rejelea vyema mahojiano yake na idhaa ya Kiswahili ya BBC)
Alisita kubainisha kuwa yeye ni mjinga...
Hili swali lakufaa wewe unayeshindwa kutambua maarifa madogo ya kuonanisha neno fursa na soko la nje...
Haya vijana changamkieni fursa hizo, halafu hoo Tanzania hakuna fursa, wakati fursa zimejaa.
Hebu wewe jaribu kufanya angalau akili yko itakuwa imepumzika na Kutwa kufikiria siasa...Mimi ntakupa mwongozo wa wapi utapata mashamba ufanye kilimo cha mbogamboga