FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Unaona sasa udumavu wa ubongo wako unapoonekana, maana unafafanua vizuri kabisa lakini kwenye hitimisho unaishia kuharibu...
Hivi hadi sasa akili yako haijakupa mwangaza kuwa ughaibuni ndipo ilipo fursa na hata katika maandishi hayo mekundu umekiri...
Tatizo lako FF huwa wajiona wajua kila kitu kwa kuwa u mjinga...
Mjinga ni mtu yule asiyetaka kujifunza kutoka kwa wengine...
Wewe unayedhani unajua kuliko wote mbona waulizwa utoe jibu la waja na lugha za kejeli?
Kikwete katokea wapi tena huku?
Na kwa taarifa yako tu huyo rais wako hakuwashangaa Watanzania bali alishangaa umasikini wa nchi ya Tanzania ambayo yeye ndio kiongozi...(FYI: Hebu rejelea vyema mahojiano yake na idhaa ya Kiswahili ya BBC)
Alisita kubainisha kuwa yeye ni mjinga...
Hili swali lakufaa wewe unayeshindwa kutambua maarifa madogo ya kuonanisha neno fursa na soko la nje...
Naona wewe upo hapa kuharibu mjadala wa watu.
Unabwabwaja na kuhororoja bila mpango. Umeuliza nimekujibu, sepa! Kitu hujuwi unapewa majibu halafu unajidai unajuwa.
Hivi hiyo shule ulienda kusomea ujinga?