Fursa kwa Watanzania wanaolima Mboga wanaotaka kuzisafirisha Ulaya, Pitieni hapa

Mkuu maeneo yanapatikana kwa bei gani huko?

Njoo kwangu Mkuranga, sikodishi siuzi, lima bure> Lima, ukipata faida mimi unanipa 10%, ukipata hasara, mimi nakupa wewe 10% ya hasara.

cc mrangi
 
Last edited by a moderator:

Kazi kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
Kazi kweli kweli

Naam, ni kazi si ndogo. Na yule unaetaka kumkodisha atafanyakazi kubwa vile vile si ndogo, Wewe utamkodishaje mtu eneo la kulima wakati haujui kama atapata faida au hasara?

Mimi akija mtu kwangu nampa sehemu ya kulima, nzuri sana kwa matikiti maji, na maji ya kumwagilia yapo, bure! naam bure.

Mwenyeezi Mungu akimjaalia kufanikiwa basi anipe 10% ya faida yake, si zaidi, kwa ajili ya eneo nililompa na ikiwa atapata hasara basi mimi ntamsaidia 10% ya hasara yake kwa kuwa itakuwa sehemu kisha itayarisha kwa kilimo.

cc asib
 
Last edited by a moderator:
Njoo kwangu Mkuranga, sikodishi siuzi, lima bure> Lima, ukipata faida mimi unanipa 10%, ukipata hasara, mimi nakupa wewe 10% ya hasara.

cc mrangi

Una eka ngapi za kukodi? Eneo tambarare? Shamba limeshasafishwa?
 
Last edited by a moderator:
Naam, ni kazi si ndogo. Na yule unaetaka kumkodisha atafanyakazi kubwa vile vile si ndogo, Wewe utamkodishaje mtu eneo la kulima wakati haujui kama atapata faida au hasara?

Mimi akija mtu kwangu nampa sehemu ya kulima, nzuri sana kwa matikiti maji, na maji ya kumwagilia yapo, bure! naam bure.

Mwenyeezi Mungu akimjaalia kufanikiwa basi anipe 10% ya faida yake, si zaidi, kwa ajili ya eneo nililompa na ikiwa atapata hasara basi mimi ntamsaidia 10% ya hasara yake kwa kuwa itakuwa sehemu kisha itayarisha kwa kilimo.

cc asib

Mimi eneo nikatalo mpatia ina fursa zote hizo kazi kwake!
 
Last edited by a moderator:
Naam, ni kazi si ndogo. Na yule unaetaka kumkodisha atafanyakazi kubwa vile vile si ndogo, Wewe utamkodishaje mtu eneo la kulima wakati haujui kama atapata faida au hasara?

Mimi akija mtu kwangu nampa sehemu ya kulima, nzuri sana kwa matikiti maji, na maji ya kumwagilia yapo, bure! naam bure.

Mwenyeezi Mungu akimjaalia kufanikiwa basi anipe 10% ya faida yake, si zaidi, kwa ajili ya eneo nililompa na ikiwa atapata hasara basi mimi ntamsaidia 10% ya hasara yake kwa kuwa itakuwa sehemu kisha itayarisha kwa kilimo.

cc asib

Utakubali mahesabu utakayo pewa kama ni hasara? Je ukipata mashaka na hayo mahesabu? Ukaona ni kubwa sana wakati unawezakuta ndio ni gharama lililotumika. Si unakaribisha shida dada yangu..
 
Last edited by a moderator:
Utakubali mahesabu utakayo pewa kama ni hasara? Je ukipata mashaka na hayo mahesabu? Ukaona ni kubwa sana wakati unawezakuta ndio ni gharama lililotumika. Si unakaribisha shida dada yangu..

Ntakubali na ntaamini kwa nia safi kabisa.

Kitu kimoja ambacho nimejifunza baada ya kuishi nje ya Tanzania kwa muda mrefu sana ni kuamini.

Nnaamini ambae anadhulumu hana faida bali huzidishiwa hasara.
 
Back
Top Bottom