Kuhusu kununua ntakulizia na ntakupa jibu ila kukodisha shamba eka 1 ni 30000/
Mkuu maeneo yanapatikana kwa bei gani huko?
Achana kabisa na mimi, mimi ni moto wa gesi wewe ni moto wa makaratasi tu.
Kazi kweli kweli
Naam, ni kazi si ndogo. Na yule unaetaka kumkodisha atafanyakazi kubwa vile vile si ndogo, Wewe utamkodishaje mtu eneo la kulima wakati haujui kama atapata faida au hasara?
Mimi akija mtu kwangu nampa sehemu ya kulima, nzuri sana kwa matikiti maji, na maji ya kumwagilia yapo, bure! naam bure.
Mwenyeezi Mungu akimjaalia kufanikiwa basi anipe 10% ya faida yake, si zaidi, kwa ajili ya eneo nililompa na ikiwa atapata hasara basi mimi ntamsaidia 10% ya hasara yake kwa kuwa itakuwa sehemu kisha itayarisha kwa kilimo.
cc asib

Utakubali mahesabu utakayo pewa kama ni hasara? Je ukipata mashaka na hayo mahesabu? Ukaona ni kubwa sana wakati unawezakuta ndio ni gharama lililotumika. Si unakaribisha shida dada yangu..