Fursa kwa watumishi wa Umma

Fursa kwa watumishi wa Umma

Halafu nyinyi ndio likitokea janga, mfano mwajiriwa kafariki, kufukuzwa kazi, ndio mnataka mlipwe kwenye mirathi ya marehemu,.... Riba zenu hamuweki wazi km CRDB, BOA, NMB mm si mshauri kabisa mteja kukopa kwenu nina experience kubwa
Wahuni hawa sitaki kuwasikia kabsaaa
 
HII NI KWA WATUMISHI WA SERIKALINI PEKEE

habari Banc ABC (African Banking Corporation) tunakukaribisha uweze kujipatia mkopo

Vigezo vya kupata mkopo wa fedha kwa watumishi wa Umma.
1. Uwe na copy ya kitambulisho cha kazi
2. Uwe na copy ya kitambulisho c'ha taifa.
3. Salary slip moja ya mwezi uliopita.
4. Bank statement (miezi mitatu)
5. Passport size moja tu.

Kima cha chini cha mkopo ni kuanzia Tsh. 500,000 na kima cha mwisho cha kukopa ni 40,000,000.

Muda wa marejesho ni kuanzia miezi 6 mpaka miezi 96 (miaka nane). Utachagua mwenyewe unahitaji mkopo wa muda gani.
Huduma ni popote Tanzania.
7. Riba ni 16% ambapo imecover FAIDA zilizo chini hapa
√√√√

pia kwa wale wenye mikopo sehemu nyingine mfano taasisi zingine tunanunua au HESLB PIAinawahusu pia ukiwa na uhitaji tunauwezo wa kununua deni ulilokopa...

√√√FAIDA ZA ABC
1.Hatuna loan process fee
2. Hatuna makato ya bima
3. Mteja anapata mkopo wake 24 mpk 48 hrs
4. Mchakato wote tunakufanyia huku ukiwa unaendelea na shughuli zako freely
5.Sio lazima Uwe na account banc ABC, tunakutumia hela kwenye account yako ulionayo, lkn pia tunakukaribisha sana.

Kwa,
mawasiliano zaidi piga 0656946198 Mahali popote ulipo unapata. Karibu sana normal text, call or wasap.
Thanks
Banc ABC
EASY LOAN
Karibuni sana.
 
Karibu banc ABC ndugu yangu kwa mkopo rahisi na waharaka.

karibu sana tukuhudumie, unaweza kunitext au kunicall any time.
0656946198
For wasap and Normal Call/Messages any time.

Karibu Sana.
 
Kwa mkopo rahisi na wa haraka karibi banc ABC NICHEKI TUKUHUDUMIE POPOTE ULIPO
 
Ninyi matapeli mikopo yenu huwa haiishi

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu hii sio sahihi kutokana na sio kila mteja amekutwa na hii changamoto.
Unapaswa kujua kuwa makato yakipita kwa mwajiri na mteja akikamilisha deni upande wetu tunasitisha, isipokuwa ile hela inabaki kwenye mfumo na hiyo ni chsngamoto ya hazina na kila bank inaface hiyo changamoto provided kuwa mshahara unapitia hazina.
Lakini pia km ikitokea hiyo shida mteja anajaza refund form na hela yake inarudi ss ndio tunaifatilia,
Na kumbuka kwenye form kila mkopo unakipindi chake kwahiyo hatuwezi kuexceed form, isipokuwa kutokuisha kwa mkopo chsngamoto ndio hivyo nilivyoelezea.
 
HII NI KWA WATUMISHI WA SERIKALINI PEKEE

habari Banc ABC (African Banking Corporation) tunakukaribisha uweze kujipatia mkopo

Vigezo vya kupata mkopo wa fedha kwa watumishi wa Umma.
1. Uwe na copy ya kitambulisho cha kazi
2. Uwe na copy ya kitambulisho c'ha taifa.
3. Salary slip moja ya mwezi uliopita.
4. Bank statement (miezi mitatu)
5. Passport size moja tu.

Kima cha chini cha mkopo ni kuanzia Tsh. 500,000 na kima cha mwisho cha kukopa ni 40,000,000.

Muda wa marejesho ni kuanzia miezi 6 mpaka miezi 96 (miaka nane). Utachagua mwenyewe unahitaji mkopo wa muda gani.
Huduma ni popote Tanzania.

pia kwa wale wenye mikopo sehemu nyingine mfano taasisi zingine tunanunua au HESLB PIAinawahusu pia ukiwa na uhitaji tunauwezo wa kununua deni ulilokopa...

FAIDA ZA ABC
1.Hatuna loan process fee
2. Hatuna makato ya bima
3. Mteja anapata mkopo wake 24 mpk 48 hrs
4. Mchakato wote tunakufanyia huku ukiwa unaendelea na shughuli zako freely
5.Sio lazima Uwe na account banc ABC, tunakutumia hela kwenye account yako ulionayo, lkn pia tunakukaribisha sana.

Kwa,
mawasiliano zaidi piga 0656946198 Mahali popote ulipo unapata. Karibu sana normal text, call or wasap.
Thanks
Banc ABC
EASY LOAN

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mtatuulia WATUMISHI wetu jamani, khaahh!!!!

Unanikumbusha mkasa wa WALIMU NA PLATINUM, BAYPORT miaka ya 2005 mpaka 2010 mlivyowaliza... mtu anaambiwa interest 4% kwa mwezi YEYE anafikiria ni kwa mwaka!!!

Sasa na nyie kipengele cha interest anajiweka kiporo bila kukisema!!!! Mbona wenzenu akina CRDB, NBC NA NMB wanasema!!!!

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 haya WATUMISHI wetu kazikwenu!!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mtatuulia WATUMISHI wetu jamani, khaahh!!!!

Unanikumbusha mkasa wa WALIMU NA PLATINUM, BAYPORT miaka ya 2005 mpaka 2010 mlivyowaliza... mtu anaambiwa interest 4% kwa mwezi YEYE anafikiria ni kwa mwaka!!!

Sasa na nyie kipengele cha interest anajiweka kiporo bila kukisema!!!! Mbona wenzenu akina CRDB, NBC NA NMB wanasema!!!!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya WATUMISHI wetu kazikwenu!!!!
Kila kitu kipo wazi boss katika huu uzi , nimeelezea kila kitu, na kuhusu taasisi zingine huwa hatupishan sana na abc tuna competitive advantages nyingi sana
 
Back
Top Bottom