Fursa kwenye uzalishaji wa Madirisha ya Plastic (PVC Window)

figE.jpg
ff-single-door.jpg
Z
2Q==
images
images
images
images
images

Hizo ni standard size za milango po pote duniani.​
 
aisee kweili candid scope wewe ni mtaalamu nitakutafuta pindi nitakapokuwa na ujenzi wangu
 
Hayo madirisha kweli nayapenda sana,kitu kimoja ambacho nimegundua huku nchi za baridi kwa material hayo kutumia.
Kwanza hayatoi wala hayaingizi hewa kama baridi, ila wanaweka sehemu ndogo ina lock ya kutolea hewa.
Pia kama milango yake ndo kiboko, hayapitishi maji kiurahisi, kwa mfano kwenye flooding, mlango huzuiya maji yasiingie, ispokuwa yanaingia taratibu sana, milango huwa ina raba ya Kuzuia. Very interesting
 
Nawashukuruni watu wote ambao mmeliunga mkono wazo hili na inaonyesha jinsi gani Watanzania tunayohsuku kwenye maendeleo na kumiliki uchumi wa nchi yetu wenyewe na hasa nawashukuru watu ambao wamaeonyesha nia ya kujiingiza kwenye mradi kwa maoni yangu hawa ni moja kati ya watu jasiri sana.Mpaka jioni ya leo idadi ya watu walio tayari kuanza kuzngusha gurudumu imefikia 15 na bado inaendelea.Idadi ya kutosha itakapofikia basi tutafunga milango na kuendelea na process zingine za usajiri wa kampuni na mambo mengine.Shukrani na tupo pamoja
 
Je wafikiria by when twaweza pata hizo feedback,nachelea muda unavyozidi kwenda na shauku yaweza pungua
 
1)Kwanza yanapendeza ni mazuri machoni
inategemea mbao ilivyofanyiwa finishing na na hiyo plastiki ilivyotengenezwa, na pia mtu na mtu. Huwezi kusema moja kwa moja dirisha la plastiki linapendeza zaidi. Kwanza kitu cha plastiki huwa kinaonekana ni kitu cheap na kitu kinachooneka ni cheap mara nyingi hilo linaondoa mvuto...

2)Hayahitaji matengenezo yamara kwa mara na yanadumu kwa muda mrefu
plastiki inadumu kuliko mbao????

3)mfano mdogo yanapitisha mwanga kwa urahisi ndani ya nyumba ambapo kama ingekuwa madirisha ya mbao basi unehitaji kuwasha taa ambapo ni upotezaji wa pesa na nishati bure
sijawahi kuona nyumba inawashwa taa mchana eti kwa vile ina madirisha ya mbao. Hayo madirisha yamefungwa au yako wazi?
 
Ndugu zangu msione kimya wacha tujulizane ratiba pamoja na mwelekeo wa mchakato mzima wa mradi.Bado nafasi zipo na tunawakaribisha kama kuna swali au marekebisho yoyote basi yaanike jamvini ili yashughulikiwe

Ratiba ya mradi wa uzalishaji wa madirisha pamoja na milango ya plastic(PVC) :

Mpaka 30 Juni
Mwisho wa Kujiunga na kikundi​
Julai mosi-Julai 30
Kukutana na kuamua mambo muhimu yanahusu kikundi,Kujua idadi ya watu,uteuzi wa mwanasheria atakadeal na process zote za awali ,Jina la kampuni,Utayarishaji wa nyaraka zote za uanzishwaji wa kampuni,Mgawanyo wa hisa ndani ya kampuni kutokana na pesa,

Agosti 1-Septema 30
Utayarishaji wa mchanganyuo mzima wa biashara,Uanzishwaji rasmi wa kampuni pamoja na upatikanaji wa nyaraka zote muhimu za kampuni ikiwa pamoja na vibali vyote(Hapa tunaongelea brela na ofisi zingine zinazohusika),Upatikana wa Certificate of incentive kutoka TIC kama wawekezaji wa ndani ili kupata ahueni za kodi kwa uingiswaji wa mtambo ,Uteuzi wa bodi ya wakurugenzi,office ya muda mfupi ya kampuni kwa ajili ya kufanyia mikutano na wanahisa wa kampuni pamoja na wadau wengine,Utayarishaji wa tovuti ya kampuni,Utafutaji wa masoko na uwaniaji wa tenda mbalimbali kwa mwaka 2016​
Oktoba 1-Desemba 30
Manunuzi ya mtambo mzima wa kuzalishia madirisha,usafirishaji mpaka Tanzania,hekaheka za kuutoa mzigo bandarini,uandaaji wa karakana,ofisi,Ufungaji wa mitembo,Majaribio ya mtambo na utendaji kazi wake,Ununua wa malighafi,utayarishaji wa timu nzima ya wafanyakazi itakayosuka gurudumu la uzalishaji,Mafunzo kwa wafanyakazi jinsi ya kutumia vifaa n.k​
Januari 1-2016
Uzalishaji rasmi unaanza​
 
nime kupm mkuu lakini kimya
 
Back
Top Bottom