Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
Hizo ni standard size za milango po pote duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka niko interested na hiyo kitu email yangu ni aziziyusuph@gmail.com
Je wafikiria by when twaweza pata hizo feedback,nachelea muda unavyozidi kwenda na shauku yaweza punguaNawashukuruni watu wote ambao mmeliunga mkono wazo hili na inaonyesha jinsi gani Watanzania tunayohsuku kwenye maendeleo na kumiliki uchumi wa nchi yetu wenyewe na hasa nawashukuru watu ambao wamaeonyesha nia ya kujiingiza kwenye mradi kwa maoni yangu hawa ni moja kati ya watu jasiri sana.Mpaka jioni ya leo idadi ya watu walio tayari kuanza kuzngusha gurudumu imefikia 15 na bado inaendelea.Idadi ya kutosha itakapofikia basi tutafunga milango na kuendelea na process zingine za usajiri wa kampuni na mambo mengine.Shukrani na tupo pamoja
inategemea mbao ilivyofanyiwa finishing na na hiyo plastiki ilivyotengenezwa, na pia mtu na mtu. Huwezi kusema moja kwa moja dirisha la plastiki linapendeza zaidi. Kwanza kitu cha plastiki huwa kinaonekana ni kitu cheap na kitu kinachooneka ni cheap mara nyingi hilo linaondoa mvuto...1)Kwanza yanapendeza ni mazuri machoni
plastiki inadumu kuliko mbao????2)Hayahitaji matengenezo yamara kwa mara na yanadumu kwa muda mrefu
sijawahi kuona nyumba inawashwa taa mchana eti kwa vile ina madirisha ya mbao. Hayo madirisha yamefungwa au yako wazi?3)mfano mdogo yanapitisha mwanga kwa urahisi ndani ya nyumba ambapo kama ingekuwa madirisha ya mbao basi unehitaji kuwasha taa ambapo ni upotezaji wa pesa na nishati bure
Ndugu zangu msione kimya wacha tujulizane ratiba pamoja na mwelekeo wa mchakato mzima wa mradi.Bado nafasi zipo na tunawakaribisha kama kuna swali au marekebisho yoyote basi yaanike jamvini ili yashughulikiwe
Ratiba ya mradi wa uzalishaji wa madirisha pamoja na milango ya plastic(PVC) :
Mpaka 30 JuniMwisho wa Kujiunga na kikundiKukutana na kuamua mambo muhimu yanahusu kikundi,Kujua idadi ya watu,uteuzi wa mwanasheria atakadeal na process zote za awali ,Jina la kampuni,Utayarishaji wa nyaraka zote za uanzishwaji wa kampuni,Mgawanyo wa hisa ndani ya kampuni kutokana na pesa,Julai mosi-Julai 30
Agosti 1-Septema 30Utayarishaji wa mchanganyuo mzima wa biashara,Uanzishwaji rasmi wa kampuni pamoja na upatikanaji wa nyaraka zote muhimu za kampuni ikiwa pamoja na vibali vyote(Hapa tunaongelea brela na ofisi zingine zinazohusika),Upatikana wa Certificate of incentive kutoka TIC kama wawekezaji wa ndani ili kupata ahueni za kodi kwa uingiswaji wa mtambo ,Uteuzi wa bodi ya wakurugenzi,office ya muda mfupi ya kampuni kwa ajili ya kufanyia mikutano na wanahisa wa kampuni pamoja na wadau wengine,Utayarishaji wa tovuti ya kampuni,Utafutaji wa masoko na uwaniaji wa tenda mbalimbali kwa mwaka 2016Oktoba 1-Desemba 30Manunuzi ya mtambo mzima wa kuzalishia madirisha,usafirishaji mpaka Tanzania,hekaheka za kuutoa mzigo bandarini,uandaaji wa karakana,ofisi,Ufungaji wa mitembo,Majaribio ya mtambo na utendaji kazi wake,Ununua wa malighafi,utayarishaji wa timu nzima ya wafanyakazi itakayosuka gurudumu la uzalishaji,Mafunzo kwa wafanyakazi jinsi ya kutumia vifaa n.kJanuari 1-2016Uzalishaji rasmi unaanza
nime kupm mkuu lakini kimya
Nimekuadd kwenye watsup