Wakuu habari za Jioni
Nawashukuru sana wengi waliojiunga na kikundi kwa sasa bado mlango upo wazi tunazidi kupokea watu na Hasa walio nje ambao wangependa kuwekeza kwenye miradi ambayo itawaletea faida siku za usoni.Kwa sasa kuna commitment ya sh milioni 20 bado ni pesa ndogo kwa kuanzisha kiwanda naamini wengi tutajitokeza zaidi