Fursa kwenye uzalishaji wa Madirisha ya Plastic (PVC Window)

Fursa kwenye uzalishaji wa Madirisha ya Plastic (PVC Window)

Napenda kujua ni tofauti iliyopo kubwa tofauti na ile ya material kwa madrisha ya aluminium na pvc
 
mkuu nimependa ilo wazo aseeh wew ni kati wa watu wachache ambao jamii inawahitaji ni add na mi
 
Bro Kassamali cheki pm tafadhali, ili unikumbuke na mimi
 
Habarini za jinioni
Ndugu zangu kutokana na sababu kwamba watu wengi wameonyesha nia ya kujiunga na maombi ni mengi ila tatizo hatujui ni nani yupo full commited na hii project.Nimeattach form hapo chini tafadhali jaza theni iutume kwa

info@ugalla.com
 

Attachments

JOIN THE FACEBOOK GROUP ( PVC WINDOW PROJECT IN TZ ) . Project Members ONly 🙂
 
Wakuu habari za Jioni
Nawashukuru sana wengi waliojiunga na kikundi kwa sasa bado mlango upo wazi tunazidi kupokea watu na Hasa walio nje ambao wangependa kuwekeza kwenye miradi ambayo itawaletea faida siku za usoni.Kwa sasa kuna commitment ya sh milioni 20 bado ni pesa ndogo kwa kuanzisha kiwanda naamini wengi tutajitokeza zaidi
 
Back
Top Bottom