TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Mkoa wa Arusha ni moja kati ya mikoa yenye mzunguko mkubwa wa pesa ila una tatizo moja.
Arusha ikiwa ni jiji lina tatizo la kuwa na asilimia kubwa ya vipanya (hiece) ambazo madereva wake nusu wazawa na nusu nyingine ni wale wa kuja wasambaa.
Fursa: Usafiri kwenye jiji hilo unakuwa kero sababu ikifika saa 20:00 hours unaanza kuadimika hasa njia ya kuelekea Usa, Ngaramtoni, Njiro nk. Kwa mwenye kutafuta fursa mwaga Bajaji, TVS au Piagio kwa njia Tengeru au Ngaramtoni nk.
Mfano ni Moshi au Mbeya ambapo hiece zimekuwa hazina abiria kwa town trip labda long trip kwenda nje ya mji kama Usa, Kisongo nk.
Mzawa akipata pesa ya bosi na yake anaenda kula vitu (bia) nyama choma (nyumba ya bure boma) analala kusubiri kesho.