The great jay
JF-Expert Member
- Aug 8, 2017
- 635
- 669
kwa hio concept ndio nilielewa tokea mwanzo ndio maana nkakutajia baathi ya ruti ambazo mtu akipiga zina hela bajaji ni 20k au 25k kwa mpya na malengo ni 30k kama ni hivi nimekuelewa mkuu na pia hata hizo sehemu nlizokujatia ambazo daladala zipo mpaka saa 4 au saa sita au saba morombo unakuta sio nyingi ivo watu wanasubiri mno mpaka ijae ila bajaji watatu wanne inaamsha na ukizingatia usiku anaweza okoteza watu popoteThe great jay
Mkuu kinachoongelewa hapa ni kuhusu town trip as mada inavyosema, ukiwa moshi hiece zipo lakini hazina soko kwa mjini unakuta Bajaj zimesajiliwa 900 njia moja na kwa siku wanapeleka hesabu 20,000/-
Kikubwa ni usafiri maeneo tajwa kukata ikifika mida hiyo au kuhama route, so tvs au piagio zikiwepo nyingi haijalishi nauli au umbali.
Sent using Jamii Forums mobile app