Fursa: Mdau kamata hii na uwekeze Arusha

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Mkoa wa Arusha ni moja kati ya mikoa yenye mzunguko mkubwa wa pesa ila una tatizo moja.

Arusha ikiwa ni jiji lina tatizo la kuwa na asilimia kubwa ya vipanya (hiece) ambazo madereva wake nusu wazawa na nusu nyingine ni wale wa kuja wasambaa.

Fursa: Usafiri kwenye jiji hilo unakuwa kero sababu ikifika saa 20:00 hours unaanza kuadimika hasa njia ya kuelekea Usa, Ngaramtoni, Njiro nk. Kwa mwenye kutafuta fursa mwaga Bajaji, TVS au Piagio kwa njia Tengeru au Ngaramtoni nk.

Mfano ni Moshi au Mbeya ambapo hiece zimekuwa hazina abiria kwa town trip labda long trip kwenda nje ya mji kama Usa, Kisongo nk.

Mzawa akipata pesa ya bosi na yake anaenda kula vitu (bia) nyama choma (nyumba ya bure boma) analala kusubiri kesho.
 
Wataweza lakini fujo za jiji? Hapa tunahitaji Coasters za ruti mzunguko..
Kilombero - Moromboo - Muriet - Uswahilini - Kilombero
Kilombero - Njiro - Muriet - Uswahilini Kilombero
N.k
Mkuu tatizo siyo mabasi makubwa au fujo za jiji..!

Hapa nazungumzia tabia za watoa huduma WAZAWA ambao ikifika saa 20:00hrs wanarudi kwenye maboma kulala, so akija wakuja atakuwa kaenda kutafuta pesa apeleke kwao.

Mfano zikija hizo coaster ambazo tayari zimeanza bado watoa huduma ni wale wale tu.
 
Dah route ya njiro ni shida sana magari mwisho saa 2 usiku
 
Hizo hiace hazionekani kwasababu Arusha yenyewe ikifika mbili usiku sehemu kubwa inakuwa imepoa sana, hamna tena mizunguko ya watu, yanabaki maeneo machache kama mromboo ndio yenye vurugu.

Kama pangekuwa na watu, usafiri wa maeneo hayo usingekosekana, nani asietaka pesa!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
njiro hiace mpaka saa 4 zipo ngaramtoni saa tatu kidinga yenyewe kutokea mianzini had saa tatu unapata sasa hizo hiace zinazolala saa mbili sijui ni ruti gan maana ruti fupi na isiyo na watu wengi ni majengo juu na yenyewe saa tatu unapata daladala za morombo mpaka saa 6 au 7 sema ikifka jioni watu ni wengi sana hata daladala zaa usa zinapandishaga bei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah route ya njiro ni shida sana magari mwisho saa 2 usiku
mkuu unakaa njiro ipi maana m nlikuwa natoka aim mall saa tatu mpaka saa nne niko town na gari za njiro napata na za moshono zipo pake karibia na soko kuu mbona mi sielewi sema idadi ya wakazi ni wengi kulingana na idadi ya vyombo vya usafiri kama kwenda murriet jioni bajaji gari zipo ila watu bado ni wengi mida ya jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mku mm arusha saa mbili ilikuwa ndio mida yangu ya kuzurura afu unasema ndio inakuwa hamna watu mianzini watu waapiga kazi mpaka saa sita sema labda useme city center ndio inazima mapema na hio ni miji mingi hata dar posta inalala mapema tuu ila njoo mbezi hadi saa 8 watu wapooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila ukiweza weka bajaji ruti ya ngaramtoni na ngulelo au tengeru na kwenda moshono japo ziko chache izo hela kwanzia saa 4 utakula hela kwa experience yangu ya kukesha usiku mida hio ndio usafiri unakuwaga wa shida sana yani hata 1000 kwa kichwa unapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe utakuwa na usafiri wako so umechangia kwa sababu unaishi chuga, vinginevyo njoo upambane na local job ambazo zitakuwa zinakurudisha home muda usiyotaka ndipo utajua nini kimesemwa.
 
Acha kuchangia ili mradi uonekane uko sawa na mwanza

Wenzio wanasema mwisho saa mbili wewe nawe unaleta blah blah hapa

Tz kuna mikoa miwili tu ambazo utakuta coaster zinapiga misele hadi saa saba usiku au nane usiku
Ni mwanza na Dar tu

Hiyo Arusha village mwisho ni saa mbili tu

Arafu yaan dodoma tu penyewe hizo hiace washaanza kuziondoa kumbe Arusha bado zipo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe utakuwa na usafiri wako so umechangia kwa sababu unaishi chuga, vinginevyo njoo upambane na local job ambazo zitakuwa zinakurudisha home muda usiyotaka ndipo utajua nini kimesemwa.
[emoji23][emoji23][emoji23] hapana mkuu me ni wa public ila hata ukitaka ushaidi kwa hio mida niambie mm nkutafutie picha za usafiri mpaka saa tatu au nne na morombo mpaka saa 7 afu mkuu arusha ruti n ndefu huwezi piga bajaji mpaka tengeru labda nauli ufanye 1000 na usa utafanya 2000 nazani maana ni km 20+ kutokea town ruti unazoweka bajaji kwa jero jero ni za destination ya ndani ya jiji kama majengo chekereni kijenge pale au ushwahilini na morombo pia ila ruti ya moshono ,usa,tengeru,ngaramtoni,kisongo viwandani,kisongo kawaida,kwenda ilikidinga hizo ruti bajaji ukieka labda iwe 1000 hadi 2000 na huko ndio watu wanaishi wengi maana arusha sa hv watu wengi wanaishi arumeru kuliko jiji hata mbeya bajaji ruti ndefu ni iyunga ambayo ni km 5 kasoro au na point kuutokea kabwe huko kwingine bajaji haziendi maana ruti zingine ni ndefu mkuu ndio maana watu mbeya biashara saa moja zimeshafungwa maana ukichelewa utajibeba usafiri kama unakaa mbali kuna mtu kasema hapo chuga inahutaji costa za mzunguko maana sa hv costa zimeanza kufanya kazi ila zingefanya ruti kwa kuzunguka ndio tatizo la usafiri lingeisha pia arusha haina watu kama mwanza na dar ambazo n over 1 milion kwa io pia mzunguko wa hiace unakuwa sio mkubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaonekana akili ako yako ni ya ushindanishi soma comment ya chini mwanza ina over 1milion people huwezi linganisha na arusha alafu hatu arusha hiace wameshaanza kuziondoka mbona kwanzia mwaka jana mwezi wa nne sumatra hawatoi vibali vya hiace ungekuta una akili mkuu ungekuwa unaelewa nn faida ya miji yote kuwa mikubwa tofauti na kuwaza kuwa superior na kwenye usafiri wa jiji mwanza na arusha huwezi linganisha maana mwanza mzunguko ni mkubwa na pia hao waliosema ni saa mbili na mm nkasema ni saa nne wote tunaweza prove kwa nn usiombe prove unangangania wao wako sahihi usijitete kwamba ulishaenda arusha maana hio ni point yaa kila member humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'Arafu' nikuulize Ni barabara ipi Mwanza Costa zinapiga kazi usiku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arafu kabla sijamaliza, hivi mkoa kuwa na Costa na daladala nyingi ndo kipimo Cha maendeleo?
Unazungumziaje mkoa wenye magari binafsi mengi kiasi cha kufanya daladala kuwa chache?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The great jay
Mkuu kinachoongelewa hapa ni kuhusu town trip as mada inavyosema, ukiwa moshi hiece zipo lakini hazina soko kwa mjini unakuta Bajaj zimesajiliwa 900 njia moja na kwa siku wanapeleka hesabu 20,000/-

Kikubwa ni usafiri maeneo tajwa kukata ikifika mida hiyo au kuhama route, so tvs au piagio zikiwepo nyingi haijalishi nauli au umbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…