Fursa: Mechi ya Simba na Azam CCM Kirumba yatumika kutangaza Maandamano ya Amani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Umati wa mashabiki wa soka waliohudhuria game ya Simba dhidi ya Azam kwenye uwanja wa ccm Kirumba , leo umepata bahati ya Mtende ya kusikia moja kwa moja matangazo ya Kuhamasisha Maandamano hayo Jijini humo.

Twaha Mwaipaya kutoka Bavicha ndiye aliyeongoza kampeni hiyo kabambe.

Mashabiki wa Soka wameahidi kuhudhuria Maandamano hayo huku wakimshangilia kwa nguvu

 
Pambalu ameenda kwao Butimba kulala?
 
Nyikani chademaniensis....the flying bird found in Anga la tized 24 hrs with spekutekula kalaz zat when Citizens ona hii rangi ona freedom at the door
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ila siasa bhana dah, juzi kati kwenye AFCON Chadema walipinga timu kuendeshwa kisiasa leo hii hao hao Chadema wanaona sawa kutangaza maandamano yao kwenye mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…