Fursa: Mechi ya Simba na Azam CCM Kirumba yatumika kutangaza Maandamano ya Amani

Fursa: Mechi ya Simba na Azam CCM Kirumba yatumika kutangaza Maandamano ya Amani

Hakika Chadema ni mpango wa mungu, mpaka ndege wa angani wanakipenda chama
.
lqbvq5.jpg
lqbvq5.jpg
lqbvq5.jpg
 
Umati wa mashabiki wa soka waliohudhuria game ya Simba dhidi ya Azam kwenye uwanja wa ccm Kirumba , leo umepata bahati ya Mtende ya kusikia moja kwa moja matangazo ya Kuhamasisha Maandamano hayo Jijini humo.

Twaha Mwaipaya kutoka Bavicha ndiye aliyeongoza kampeni hiyo kabambe.

Mashabiki wa Soka wameahidi kuhudhuria Maandamano hayo huku wakimshangilia kwa nguvu

CDM nao wamechoka tu.
 
Ila siasa bhana dah, juzi kati kwenye AFCON Chadema walipinga timu kuendeshwa kisiasa leo hii hao hao Chadema wanaona sawa kutangaza maandamano yao kwenye mpira
Chadema na CCM wapo sawa kabisa, shida chadema wanaumia kukosa platform ya kula tu, ila ukiwapa sidhan kama watafanya tofaut na ccm 😂😂😂🥂
 
Chadema na CCM wapo sawa kabisa, shida chadema wanaumia kukosa platform ya kula tu, ila ukiwapa sidhan kama watafanya tofaut na ccm 😂😂😂🥂
CCM na Chadema ni pipa na mfuniko, wote wapigaji
 
Chadema na CCM wapo sawa kabisa, shida chadema wanaumia kukosa platform ya kula tu, ila ukiwapa sidhan kama watafanya tofaut na ccm 😂😂😂🥂
Waaminiwe, wapewe uongozi Ili kuthibitisha Hilo usemalo!!
 
Hata Nyerere alipokuwa anaikomboa Tanganyika kuna mamluki walimwita mjinga
Kwama CHADEMA mnataka kuikomboa Nchi?!
Mmeshindwa kujikomboa wenyewe kutoka kwa ' M/Kiti wa maisha' mtaweza kwa watanzania?!
 
Back
Top Bottom